Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAFUNZO YA ELIMU YA UJASIRIAMALI KWA WASHIRIKI WA SHINDANO LA MASHUJAA WA KESHO MKOANI MTWARA YAMALIZIKA

Mafunzo ya elimu na ujasiriamali kwa washiriki wa shindano la Mashujaa wa  Kesho yanayoratibiwa na kampuni ya Statoil Tanzania, yenye lengo la kumjenga  kijana kuwa mjasiriamali yamekamilika hivi karibuni.
Akibainisha aina ya mafunzo ya ujasiriamali waliyopata vijana hao, ErickMchome Afisa Mahusiano wa Statoil-Tanzania amesema kuwaMafunzo waliyopata vijana hao yamelenga kuwawezesha vijana kuandika mpango wa biashara ikiwa ni hatua ya awali katika harakati za ujasiriamali.
Pamoja na hilo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Washiriki Shindano la mashujaa wa kesho waanza kurejesha fomu

Chumba cha kompyuta cha washiriki wa Shindano la Mashujaa wa Kesho.

Chumba cha kompyuta cha washiriki wa Shindano la Mashujaa wa Kesho.

Baadhi-ya-washiriki-wa-Shindano-la-Mashujaa-wa-Kesho-wakipitia-fomu-zao.

Baadhi ya washiriki wa Shindano la Mashujaa wa Kesho wakipitia fomu zao.

Na Mwandishi Wetu

ZOEZI la uchukuaji fomu kwa ajili ya vijana mbalimbali kushiriki katika Shindano la Mashujaa wa Kesho la Statoil limeendelea kushika kasi huku idadi kubwa ya vijana wakiendelea kurejesha fomu kwa lengo la kushiriki katika kinyang’anyiro hicho.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Ofisa Mawasiliano wa Statoil Tanzania, Erick...

 

10 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE KUPITIA VIPODOZI WAHITIMU MAFUNZO

  Washiriki wa Manjano Dream-makers katika taasisi ya Manjano Foundation wamehitimu mitihani yao ya mwisho ya jinsi ya kupaka vipodozi (makeup). Kuanzia sasa, washiriki hao wanawake na wasichana 30 wanaianza safari yao ya mwaka mzima katika kujikita na ujasiriamali. Taasisi ya Manjano Foundation, ilianzisha jukwaa kwa ajili ya kuandaa programu ambayo itamuinua mwanamke wa Kitanzania kwa kumwezesha kujiongezea kipato na ambayo itakuwa ni chachu ya kubadili yale yote yaliyoyazunguka maisha...

 

10 years ago

Michuzi

STATOIL YATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA SHINDANO LA MASHUJAA WA KESHO

Kampuni ya Statoil Tanzania imewatangaza na kuwazawadia washindi wa shindano la Mashujaa wa Kesho katika hafla iliyofanyika siku ya Alhamisi Desemba 4. Mashujaa wa Kesho ni shindano la biashara lililoandaliwa kwa lengo la kukuza dhana ya ujasiriamali kwa vijana mkoani Mtwara.
Bwana Nassibu Hamimu Lilumba ameibuka mshindi wa shindano la Mashujaa wa Kesho baada ya kutoa wazo la biashara na kIsha kuandaa mpango wa biashara na kutoa maelezo yake katika jopo la majaji. Mshindi alizawadiwa fedha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwisho urejeshaji fomu shindano la mashujaa wa kesho ni kesho

Vijana katika biashara ya uuzaji samaki.

Vijana katika biashara ya uuzaji samaki.

Vijana katika biashara ya uuzaji mapambo mbalimbali

Vijana katika biashara ya uuzaji mapambo mbalimbali

Vijana-katika-biashara-ya-uuzaji-samaki.1

Vijana katika biashara ya uuzaji samaki.

Vijana katika biashara ya ukaangaji na uuzaji samaki.

Vijana katika biashara ya ukaangaji na uuzaji samaki.

Na Mwandishi Wetu, Mtwara

WAKATI siku ya mwisho ya urejeshaji wa fomu kwa vijana watakao shiriki Shindano la Mashujaa wa Kesho ukiwadia na dirisha la upokeaji fomu hizo kutarajiwa kufungwa hapo kesho majira ya saa nane idadi ya vijana waliorejesha fomu hizo imeendelea kupanda.

Akizungumzia zoezi hilo jana...

 

10 years ago

Michuzi

Mwisho Urejeshaji Fomu Shindano la Mashujaa wa Kesho ni Oktoba 10

Vijana katika biashara ya uuzaji samaki. Vijana katika biashara ya uuzaji samaki.Na Mwandishi Wetu, Mtwara 
 WAKATI siku ya mwisho ya urejeshaji wa fomu kwa vijana watakao shiriki Shindano la Mashujaa wa Kesho ukiwadia na dirisha la upokeaji fomu hizo kutarajiwa kufungwa hapo kesho majira ya saa nane idadi ya vijana waliorejesha fomu hizo imeendelea kupanda. 
 Akizungumzia zoezi hilo jana mchana, Ofisa Mawasiliano wa Kampuni ya Statoil Tanzania, Erick Mchome aliwataka vijana waliochukua fomu zao kuzirejesha mapema ili kujipatia...

 

10 years ago

Vijimambo

Mwisho Urejeshaji Fomu Shindano la Mashujaa wa Kesho ni leo

Vijana katika biashara ya uuzaji samaki. Vijana katika biashara ya uuzaji samaki.Vijana katika biashara ya uuzaji mapambo mbalimbali Vijana katika biashara ya uuzaji mapambo mbalimbaliVijana katika biashara ya uuzaji samaki. Vijana katika biashara ya uuzaji samaki.Vijana katika biashara ya ukaangaji na uuzaji samaki. Vijana katika biashara ya ukaangaji na uuzaji samaki.
Na Mwandishi Wetu, Mtwara WAKATI siku ya mwisho ya urejeshaji wa fomu kwa vijana watakao shiriki Shindano la Mashujaa wa Kesho ukiwadia na dirisha la upokeaji fomu hizo kutarajiwa kufungwa leo majira ya saa nane idadi ya vijana waliorejesha fomu hizo imeendelea kupanda. Akizungumzia zoezi hilo juzi mchana,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo Welcome Pack yamalizika kwa kishindo mjini Mtwara

_81A0207

Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Wilman Ndile mwenye kofia akikagua basi la kampuni ya Tigo linalotumika kutoa huduma zake kwa wananchi walio vijijini kwenye kampeni ya welcome pack, kushoto kwake ni Meneja wa Tigo kanda ya kusini, Daniel Mainoya.wengine ni baadhi ya wateja wa kampuni hiyo waliyoenda kufahamu zaidi huduma zitolewazo na kampuni hiyo kwenye tamasha lililofanyika uwanja wa Nangwanda Mkoani Mtwara.

_81A0234

Wasanii wa kundi la Origino Komedi wakionesha shoo wakati wa tamasha la Tigo welcome...

 

10 years ago

Michuzi

Kambi ya mafunzo kwa Vijana yamalizika jijini Dar

Kwaya ya Gracias kutoka Korea ikitumbuiza katika kambi ya Vijana iliyomalizika jana katika viwanja vya mikutano vya Mlimani City.Kambi iyo mwaka huu imefanyika nchini ikijumuisha vijana elfu tatu duniani kote. Mkurugenzi msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na michezo Bi. Esther Riwa akiongea na Vijana mbalimbali baada ya Kuwapa somo kuhusu kuwa na Fikra Chanya ili kujiletea maendeleo na Stadi za Maisha.Vijana hao wameweka kambi katika Viwanja vya...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL KUWAPATIA VIJANA ZAIDI YA 500 ELIMU YA UJASIRIAMALI MKOANI ARUSHA

Meneja huduma za jamii wa Airtel Bi. Hawa Bayumi akiongea na wwndishi wa habari (hawapo pichani). Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kupitia mpango maalumu wa Airtel Fursa, imeandaa warsha maalumu ya mafunzo ya ujasiriamali na namna ya kuendesha biashara zao kwa faida itakayofanyika mwanzoni mwa wiki ijayo. Warsha hii itakayowajumuisha vijana kati ya miaka 18 - 24 wenye nia ya kujifunza na kujikwamua kiuchumi, inategemea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani