Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL KUWAPATIA VIJANA ZAIDI YA 500 ELIMU YA UJASIRIAMALI MKOANI ARUSHA

Meneja huduma za jamii wa Airtel Bi. Hawa Bayumi akiongea na wwndishi wa habari (hawapo pichani). Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kupitia mpango maalumu wa Airtel Fursa, imeandaa warsha maalumu ya mafunzo ya ujasiriamali na namna ya kuendesha biashara zao kwa faida itakayofanyika mwanzoni mwa wiki ijayo. Warsha hii itakayowajumuisha vijana kati ya miaka 18 - 24 wenye nia ya kujifunza na kujikwamua kiuchumi, inategemea...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI: Vijana wa Tanga wanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia Airtel Fursa

Wafanyabishara wadogo na wa kati zaidi ya 300 waliopo katika wilaya mbali mbali mkoani Tanga wameongezewa ujuzi wa elimu ya biashara ili waweze kufanya shughuli zao kwa ufanisi na kuweza kuongezaza kipato chao na kuchangia pato la taifa.  Kampuni ya Airtel Tanzania, kupitia mpango wake wa “Airtel Fursa Tunakuwezesha” imewapatia mafunzo ya ujasiriamali vijana wa manispaa ya Tanga kwa lengo la kuwawezesha kuboresha uendeshaji biashara na kukuza mitaji yao katika warsha iliyofanyika katika...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL FURSA YAWEZESHA VIJANA ZAIDI YA 200 ARUSHA MBINU ZA KUENDESHA BIASHARA ZAO

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Beatrice Singano Mallya akizungumza wakati wa mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, yaliyofanyika jijini Arusha jana. Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Arusha, Blandina Nkini akifungua mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, yaliyofanyika jijini Arusha jana.…
...

 

9 years ago

Michuzi

Vijana wa Tanga wanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia Airtel Fursa

Wafanyabishara wadogo na wa kati zaidi ya 300 waliopo katika wilaya mbali mbali mkoani Tanga wameongezewa ujuzi wa elimu ya biashara ili waweze kufanya shughuli zao kwa ufanisi na kuweza kuongezaza kipato chao na kuchangia pato la taifa.
Kampuni ya Airtel Tanzania, kupitia mpango wake wa “Airtel Fursa Tunakuwezesha” imewapatia mafunzo ya ujasiriamali vijana wa manispaa ya Tanga kwa lengo la kuwawezesha kuboresha uendeshaji biashara na kukuza mitaji yao katika warsha iliyofanyika katika ukumbi...

 

9 years ago

Michuzi

VIJANA JIJINI MOROGORO WACHANGAMIKIA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KUPITIA AIRTEL FURSA

Airtel Fursa imejikita katika mradi wake wa kuwezesha vijana hapa nchini katika ujasiliamali kupitia mpango wake wa kukomboa vijana hapa nchini wa “Airtel Fursa Tunakuwezesha”. Wito umetolewa kwa vijana hapa nchini kujitokeza katika kuchangamkia fursa za kijasiriamali zinazojitokeza ili kuweza kuwaepushia vijana na matendo maovu yanayoweza kuwafanya ndani ya jamii kukosa thamani.  Rai hiyo imetolewa na Meneja utawala VETA MVTTC Twiganile Ndunguru Mkoani Morogoro katika warsha ya mafunzo ...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yaitambulisha promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi kwa wakazi wa Arusha

Meneja Mauzo Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kanda ya kaskazini Bwana Brighton Majwala akiongea na waandishi wa habari wakati wa kuitambulisha promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi Mkoani Arusha , wakishuhudia (katika) Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde akifatiwa na Afisa Masoko wa Airtel Bi Rebecca Mauma.Meneja Mauzo kanda ya kaskazini Bwana Brighton Majwala (kulia) ,Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde (katika) na Afisa Masoko wa Airtel Bi Rebecca Mauma kwa pamoja wakionyesha...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAITAMBULISHA PROMOSHENI YA AIRTEL YATOSHA ZAIDI KWA WAKAZI WA ARUSHA‏


 Meneja Mauzo kanda ya kaskazini Bwana Brighton Majwala akiongea na waandishi wa habari wakati wa kuitambulisha promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi Mkoani Arusha , wakishuhudia (katika) Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde  akifatiwa na Afisa Masoko wa Airtel Bi Rebecca Mauma

 Meneja Mauzo kanda…

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yawashauri Vijana Mkoani Ruvuma kujishughulisha na ujasiriamali

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea Bw. Nachoa Zacharia kulia akiongea na ujumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa Maafisa hao walipokuwa katika ziara ya mafunzo stadi za maisha,ujasiriamali na elimu ya uongozi kwa vijana wa Mkoa wa Ruvuma, kushoto kwake ni Mkuu wa Chuo cha Vijana cha Sasanda kilichopo mkoani Mbeya Bw. Laurian Masele. Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea Mh. Charles Mhagama akisisitiza jambo kwa maafisa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Zaidi ya vijana 500 wakamatwa Tanzania

Zaidi ya Vijana 500 wamekamatwa wakihusishwa na vitendo vya uhalifu kwa makundi jijini Dar es Salaam

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani