Mwisho urejeshaji fomu shindano la mashujaa wa kesho ni kesho
Vijana katika biashara ya uuzaji samaki.
Vijana katika biashara ya uuzaji mapambo mbalimbali
Vijana katika biashara ya uuzaji samaki.
Vijana katika biashara ya ukaangaji na uuzaji samaki.
Na Mwandishi Wetu, Mtwara
WAKATI siku ya mwisho ya urejeshaji wa fomu kwa vijana watakao shiriki Shindano la Mashujaa wa Kesho ukiwadia na dirisha la upokeaji fomu hizo kutarajiwa kufungwa hapo kesho majira ya saa nane idadi ya vijana waliorejesha fomu hizo imeendelea kupanda.
Akizungumzia zoezi hilo jana...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi09 Oct
Mwisho Urejeshaji Fomu Shindano la Mashujaa wa Kesho ni Oktoba 10
WAKATI siku ya mwisho ya urejeshaji wa fomu kwa vijana watakao shiriki Shindano la Mashujaa wa Kesho ukiwadia na dirisha la upokeaji fomu hizo kutarajiwa kufungwa hapo kesho majira ya saa nane idadi ya vijana waliorejesha fomu hizo imeendelea kupanda.
Akizungumzia zoezi hilo jana mchana, Ofisa Mawasiliano wa Kampuni ya Statoil Tanzania, Erick Mchome aliwataka vijana waliochukua fomu zao kuzirejesha mapema ili kujipatia...
10 years ago
Vijimambo10 Oct
Mwisho Urejeshaji Fomu Shindano la Mashujaa wa Kesho ni leo
Na Mwandishi Wetu, Mtwara WAKATI siku ya mwisho ya urejeshaji wa fomu kwa vijana watakao shiriki Shindano la Mashujaa wa Kesho ukiwadia na dirisha la upokeaji fomu hizo kutarajiwa kufungwa leo majira ya saa nane idadi ya vijana waliorejesha fomu hizo imeendelea kupanda. Akizungumzia zoezi hilo juzi mchana,...
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
Washiriki Shindano la mashujaa wa kesho waanza kurejesha fomu
Chumba cha kompyuta cha washiriki wa Shindano la Mashujaa wa Kesho.
Baadhi ya washiriki wa Shindano la Mashujaa wa Kesho wakipitia fomu zao.
Na Mwandishi Wetu
ZOEZI la uchukuaji fomu kwa ajili ya vijana mbalimbali kushiriki katika Shindano la Mashujaa wa Kesho la Statoil limeendelea kushika kasi huku idadi kubwa ya vijana wakiendelea kurejesha fomu kwa lengo la kushiriki katika kinyang’anyiro hicho.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Ofisa Mawasiliano wa Statoil Tanzania, Erick...
10 years ago
VijimamboDEADLINE NI KESHO ....MWISHO WA KUNUNUA TICKET ZA DISCOUNT KWA $75 NI KESHO ,BAADA YA KESHO ZITAKUWA $100.
10 years ago
MichuziSTATOIL YATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA SHINDANO LA MASHUJAA WA KESHO
Bwana Nassibu Hamimu Lilumba ameibuka mshindi wa shindano la Mashujaa wa Kesho baada ya kutoa wazo la biashara na kIsha kuandaa mpango wa biashara na kutoa maelezo yake katika jopo la majaji. Mshindi alizawadiwa fedha...
10 years ago
MichuziMAFUNZO YA ELIMU YA UJASIRIAMALI KWA WASHIRIKI WA SHINDANO LA MASHUJAA WA KESHO MKOANI MTWARA YAMALIZIKA
Akibainisha aina ya mafunzo ya ujasiriamali waliyopata vijana hao, ErickMchome Afisa Mahusiano wa Statoil-Tanzania amesema kuwaMafunzo waliyopata vijana hao yamelenga kuwawezesha vijana kuandika mpango wa biashara ikiwa ni hatua ya awali katika harakati za ujasiriamali.
Pamoja na hilo...
10 years ago
GPLSHINDANO LA VIPAJI LA TMT KUHAMIA ARUSHA KESHO
9 years ago
MichuziFAINALI ZA SHINDANO LA DANSI 100% KUFANYIKA KESHO
Makundi ambayo yatawasha moto kwenye uwanja wa...
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Vijana 100 wajitokeza shindano la ‘shujaa wa kesho’
SHINDANO la Mashujaa wa kesho lililodhaminiwa na Statoil limepamba moto huku vijana zaidi ya 100 mkoani Mtwara wamejitokeza na kuchukua fomu za ushiriki shindano hilo. Kwa mujibu wa Afisa Mawasiliano...