Vijana 100 wajitokeza shindano la ‘shujaa wa kesho’
SHINDANO la Mashujaa wa kesho lililodhaminiwa na Statoil limepamba moto huku vijana zaidi ya 100 mkoani Mtwara wamejitokeza na kuchukua fomu za ushiriki shindano hilo. Kwa mujibu wa Afisa Mawasiliano...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-K3GP5qNyAYA/VhebVSlrPYI/AAAAAAAH-Ig/1K3pNmmnUsw/s72-c/001.DANCE.jpg)
FAINALI ZA SHINDANO LA DANSI 100% KUFANYIKA KESHO
Makundi ambayo yatawasha moto kwenye uwanja wa...
10 years ago
Vijimambo![](https://lh3.googleusercontent.com/-JZ91ljyh71w/VF-kCddS14I/AAAAAAAARZo/5UT0rCGq3LU/s72-c/blogger-image-880205719.jpg)
DEADLINE NI KESHO ....MWISHO WA KUNUNUA TICKET ZA DISCOUNT KWA $75 NI KESHO ,BAADA YA KESHO ZITAKUWA $100.
![](https://lh3.googleusercontent.com/-JZ91ljyh71w/VF-kCddS14I/AAAAAAAARZo/5UT0rCGq3LU/s640/blogger-image-880205719.jpg)
10 years ago
Dewji Blog09 Oct
Mwisho urejeshaji fomu shindano la mashujaa wa kesho ni kesho
![Vijana katika biashara ya uuzaji samaki.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/Vijana-katika-biashara-ya-uuzaji-samaki..jpg)
Vijana katika biashara ya uuzaji samaki.
![Vijana katika biashara ya uuzaji mapambo mbalimbali](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/Vijana-katika-biashara-ya-uuzaji-mapambo-mbalimbali.jpg)
Vijana katika biashara ya uuzaji mapambo mbalimbali
Vijana katika biashara ya uuzaji samaki.
![Vijana katika biashara ya ukaangaji na uuzaji samaki.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/Vijana-katika-biashara-ya-ukaangaji-na-uuzaji-samaki..jpg)
Vijana katika biashara ya ukaangaji na uuzaji samaki.
Na Mwandishi Wetu, Mtwara
WAKATI siku ya mwisho ya urejeshaji wa fomu kwa vijana watakao shiriki Shindano la Mashujaa wa Kesho ukiwadia na dirisha la upokeaji fomu hizo kutarajiwa kufungwa hapo kesho majira ya saa nane idadi ya vijana waliorejesha fomu hizo imeendelea kupanda.
Akizungumzia zoezi hilo jana...
10 years ago
Michuzi18 WATAJWA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015
akizungumza na waandishi wa habari mmoja wa majaji waliohusika katika zoezi la kusahihisha fomu za washiriki, Zephania Mugittu alisema kuwa idadi ya washiriki...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-g9DLF0XcgC4/VUDmpsAzOGI/AAAAAAAHUBw/mB4v1W6HIyQ/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
SHINDANO LA MAMA SHUJAA LAZINDULIWA WILAYANI KISARAWE
Na Mwandishi WetuMkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mh.Subira Mgalu amezindua Shindano la Mama Shujaa wa Chakula linaloendeshwa na Shirika lisilo la kiserikali la Oxfam kupitia kampeni ya Grow lenye lengo la Kumuwezesha Mwanamke katika kilimo na kumkwamua kiuchumi.
Subira ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kumwezesha mwanamke katika kilimo na kumkwa mwanamke kiuchumi iliyofanyika katika kijiji cha Kisanga wilayani Kisarawe mkoani Pwani.
Subira amesema kufanyika kwa mashindano wilayani...
11 years ago
MichuziVIJANA WA NYEGEZI MWANZA WAHAMASISHWA KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS LITAKALOFANYIKA KESHO JUMAMOSI ISAMILO LODGE KUANZIA SAA MOJA ASUBUHI
10 years ago
Dewji Blog08 Jun
18 watajwa kushiriki shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015
Meneja Utetezi na Ushawishi wa Oxfam, Eluka Kibona akifungua mkutano wa kuwatangaza washindi wa waliongia katika shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015.
Majaji, Kutoka Kulia ni Zephaniah Muggitu wa Digital Consulting Ltd, Jairos Mahenge Mhifadhi Mwandamizi wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu, Dora Myinga Mkulima na Mjasiliamali, Mwandiwe Makame Mkulima na Mfugaji, Roselyn Kaihula kutoka Ekama Development.
Ofisa Mahusiano ya Ushawishi wa Oxfam Tanzania Suhaila Thawer akitoa maelezo...
10 years ago
VijimamboWASHIRIKI 18 WATAJWA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015