FAINALI ZA SHINDANO LA DANSI 100% KUFANYIKA KESHO

Kundi bora kuzoa kitita cha shilingi Milioni 5KINYANG'ANILO cha shindano la kukata na shoka la dansi 100% ambalo limekuwa likiendelea kwa kushirikisha makundi mbalimbali vya sanaa chini ya uandalizi wa kituo cha EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania linafikia kileleni hapo kesho ambapo makundi matano(5) yatachuana vikali katika kombe pamoja na kitita cha shilingi milioni tano(5) ziotakazokabidhiwa na wadhamini wakuu wa shindano hilo.
Makundi ambayo yatawasha moto kwenye uwanja wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo509 Oct
Fainali za shindano la Dansi 100% ni Jumamosi hii
11 years ago
GPL
ROBO FAINALI DANSI 100% KUFANYIKA JUMAMOSI
11 years ago
Michuzi
Nusu fainali Dansi 100% kufanyika Don Bosco Jumamosi


11 years ago
GPL
NUSU FAINALI DANSI 100% KUFANYIKA DON BOSCO JUMAMOSI
10 years ago
GPL
MAKUNDI 10 YAPENYA NUSU FAINALI DANSI 100%
11 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Makundi 10 yatinga nusu fainali Dansi 100%
MAKUNDI 10 ya vijana ambao wanashindana katika umahiri wa kucheza muziki, maarufu kama Dance 100%, mwishoni mwa wiki yaliingia hatua ya nusu fainali katika mchuano mkali uliofanyika katika Uwanja wa...
11 years ago
GPLMAKUNDI KUMI YAINGIA NUSU FAINALI YA DANSI 100%
11 years ago
GPL
WATOTO 15 WATINGA FAINALI ZA SHINDANO LA "MO KIDS GOT TALENT 2013", FAINALI KUFANYIKA LEO JIONI LEDGER PLAZA - BAHARI BEACH