Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NUSU FAINALI DANSI 100% KUFANYIKA DON BOSCO JUMAMOSI‏

Meneja wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Liginiku Milinga(kulia)akiwaonesha waandishi wa habari(hawapo pichani)Simu aina ya Samsung E1205 yenye tochi na redio yenye thamani ya shilingi 25,000 tu.Zitakazopatikana katika Nusu fainali ya Dance 100 itakayofanyika jumamosi Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam,pamoja nae kushoto ni Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu.
Meneja Uhusiano wa Umma wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Nusu fainali Dansi 100% kufanyika Don Bosco Jumamosi

Meneja wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Liginiku Milinga(kulia)akiwaonesha waandishi wa habari(hawapo pichani)Simu aina ya Samsung E1205 yenye tochi na redio yenye thamani ya shilingi 25,000 tu.Zitakazopatikana katika Nusu fainali ya Dance 100 itakayofanyika jumamosi Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam,pamoja nae kushoto ni Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,Kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5. Meneja...

 

10 years ago

GPL

ROBO FAINALI DANSI 100% KUFANYIKA JUMAMOSI

Vijana wanaounda Kundi la Mob Squad  Kutoka Wilaya ya Temeke wakionyesha umahiri wao katika shindano la Dance miamia hivi karibuni,liloandaliwa na East Africa TV na kudhaminiwa na  Vodacom Tanzania.
Baadhi ya mashabiki waliofurika katika mashindano hayo hivi karibuni. Kinyang’anyiro cha mashindano yanayokuwa kwa kasi hapa nchini ya Dance 100% yanayoandaliwa  na kituo cha televisheni cha East ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Makundi 10 yatinga nusu fainali Dansi 100%

MAKUNDI 10 ya vijana ambao wanashindana katika umahiri wa kucheza muziki, maarufu kama Dance 100%, mwishoni mwa wiki yaliingia hatua ya nusu fainali katika mchuano mkali uliofanyika katika Uwanja wa...

 

9 years ago

GPL

MAKUNDI 10 YAPENYA NUSU FAINALI DANSI 100%

Wasanii wa Kundi la The W.D kutoka Temeke jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dansi wakati wa robo fainali ya shindano la Dance 100% 2015 lililofanyika kwenye viwanja vya Don bosco Oystebay Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania,Makundi 10 kati ya 15 yalifanikiwa kuingia katika kinyang’anyiro cha nusu fainali zitakazofanyika hivi...

 

10 years ago

GPL

MAKUNDI KUMI YAINGIA NUSU FAINALI YA DANSI 100%

Kikundi cha  Quality Boys cha Kinondoni jijini Dar es salaam, kikionyesha umahiri  wao wa wakati wa robo fainali ya shindano la Dance100%  lililofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay  jijini Dar es Salaam .Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania  mshindi wa shindano hilo atajinyakulia kitita cha shilingi milioni 5.…
...

 

9 years ago

Bongo5

Fainali za shindano la Dansi 100% ni Jumamosi hii

Kinyanganyiro cha shindano la kukata na shoka la dansi 100% ambalo limekuwa likiendelea kwa kushirikisha makundi mbalimbali vya sanaa chini ya uandalizi wa kituo cha EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania linafikia kileleni hapo kesho ambapo makundi matano(5) yatachuana vikali katika kombe pamoja na kitita cha shilingi milioni tano(5) ziotakazokabidhiwa na wadhamini wakuu wa shindano […]

 

9 years ago

Michuzi

FAINALI ZA SHINDANO LA DANSI 100% KUFANYIKA KESHO

Kundi bora kuzoa kitita cha shilingi Milioni 5KINYANG'ANILO cha shindano la kukata na shoka la dansi 100% ambalo limekuwa likiendelea kwa kushirikisha makundi mbalimbali vya sanaa chini ya uandalizi wa kituo cha EATV  na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania linafikia kileleni hapo kesho ambapo makundi  matano(5) yatachuana vikali katika kombe pamoja na kitita cha shilingi milioni tano(5) ziotakazokabidhiwa na wadhamini wakuu wa shindano hilo.
Makundi ambayo yatawasha moto kwenye uwanja wa...

 

10 years ago

GPL

WASHIRIKI WA DANCE 100% WAENDELEA KUJIFUA KWA NUSU FAINALI CHINI YA VODACOM‏

Mstafa Yahaya mmoja wa washiriki wa Shindano la Dance 100% wa Kundi la “Tatanisha Dancers” la Mabibo  jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake katika mazoezi yao ikiwa ni sehemu ya  kujiandaa na nusu fainali ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu  kwenye  Viwanja vya Don Bosco Oysterbay. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.… ...

 

10 years ago

GPL

MAZABE POWDER WATAMBA KUINGIA NUSU FAINALI YA DANCE 100% CHINI YA VODACOM TANZANIA‏

Kikundi cha Mazabe Powder cha kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam,kinachoshiriki shindano la Dance 100% wakielekee mazoezini  kujindaa na  robofainali itakayofanyika Agosti  23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la Mazabe Powder la kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam,wakiwa mazoezini kujiandaa kwa mchuano wa robo fainali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani