MAZABE POWDER WATAMBA KUINGIA NUSU FAINALI YA DANCE 100% CHINI YA VODACOM TANZANIA

Kikundi cha Mazabe Powder cha kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam,kinachoshiriki shindano la Dance 100% wakielekee mazoezini kujindaa na robofainali itakayofanyika Agosti 23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania. Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la Mazabe Powder la kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam,wakiwa mazoezini kujiandaa kwa mchuano wa robo fainali...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
MAZABE POWDER WATAMBA KUINGIA NUSU FAINALI YA DANCE 100%CHINI YA VODACOM TANZANIA



11 years ago
GPL
WASHIRIKI WA DANCE 100% WAENDELEA KUJIFUA KWA NUSU FAINALI CHINI YA VODACOM
11 years ago
Dewji Blog07 Sep
Washiriki wa Dance 100% waendelea kujifua kwa nusu fainali chini ya Vodacom
Mstafa Yahaya mmoja wa washiriki wa Shindano la Dance 100% wa Kundi la “Tatanisha Dancers” la Mabibo jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake katika mazoezi yao ikiwa ni sehemu ya kujiandaa na nusu fainali ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu kwenye Viwanja vya Don Bosco Oysterbay. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Mshiriki wa shindano la Dance 100% Isyaka Ramadhan wa Kundi la”Tatanisha Dancers” la Mabibo jijini Dar es...
11 years ago
Michuzi
WASHIRIKI WA DANCE 100%WAENDELEA KUJIFUA KWA NUSU FAINALI CHINI YA VODACOM


11 years ago
GPL
FAINALI YA DANCE 100 J'MOSI CHINI YA VODACOM TANZANI
11 years ago
Michuzi
MAKUNDI MATANO YAINGIA FAINALI YA DANCE 100%CHINI YA VODACOM


11 years ago
Michuzi.jpg)
VIJANA WAZIDI KUJIFUA KWA ROBO FAINALI YA DANCE 100% INAYODHAMINIWA NA VODACOM TANZANIA
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi
SHINDANO LA DANCE 100% LAZIDI KUPAMBA MOTO CHINI YA VODACOM TANZANI


11 years ago
Michuzi
VODACOM YASABABISHA VILIVYO ROBO FAINALI YA DANCE 100 CHANG'OMBE

