MAKUNDI MATANO YAINGIA FAINALI YA DANCE 100%CHINI YA VODACOM

Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la”Wakali sisi” Buguruni jijini Dar es Salaam,wakionesha umahiri wao wa kudansi wakati wa mchuano wa nusu fainali ya shindano hilo lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lililofanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay,Makundi 5 kati ya 10 yameingia fainali itakayofanyika mwezi ujao.
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,akikausha maji ya mvua iliyokuwa ikinyesha kwa wingi wakati shindano la nusu fainali...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MAKUNDI MATANO YAINGIA FAINALI YA DANCE 100%
11 years ago
GPL
FAINALI YA DANCE 100 J'MOSI CHINI YA VODACOM TANZANI
11 years ago
Dewji Blog07 Sep
Washiriki wa Dance 100% waendelea kujifua kwa nusu fainali chini ya Vodacom
Mstafa Yahaya mmoja wa washiriki wa Shindano la Dance 100% wa Kundi la “Tatanisha Dancers” la Mabibo jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake katika mazoezi yao ikiwa ni sehemu ya kujiandaa na nusu fainali ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu kwenye Viwanja vya Don Bosco Oysterbay. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Mshiriki wa shindano la Dance 100% Isyaka Ramadhan wa Kundi la”Tatanisha Dancers” la Mabibo jijini Dar es...
11 years ago
Michuzi
WASHIRIKI WA DANCE 100%WAENDELEA KUJIFUA KWA NUSU FAINALI CHINI YA VODACOM


11 years ago
Michuzi
MAZABE POWDER WATAMBA KUINGIA NUSU FAINALI YA DANCE 100%CHINI YA VODACOM TANZANIA



11 years ago
GPL
WASHIRIKI WA DANCE 100% WAENDELEA KUJIFUA KWA NUSU FAINALI CHINI YA VODACOM
11 years ago
GPL
MAZABE POWDER WATAMBA KUINGIA NUSU FAINALI YA DANCE 100% CHINI YA VODACOM TANZANIA
11 years ago
GPLMAKUNDI KUMI YAINGIA NUSU FAINALI YA DANSI 100%
10 years ago
Michuzi
SHINDANO LA DANCE 100% LAZIDI KUPAMBA MOTO CHINI YA VODACOM TANZANI

