Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOTA MOLLEL : Mwanamitindo asiyependa fani yake idharauliwe

Ukizungumzia wanamitindo wanaofanya vizuri katika tasnia ya mitindo, huku wakiwa na juhudi zakuleta maendelea katika familia zao na nchi kwa ujumla huwezi kumsahau Lota Molel.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

CORONA YAMREJESHA MLIMBWENDE KWENYE FANI YAKE YA UDAKTARI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TVBHASHA  Mukherjee (24)  ambaye ni mlimbwende wa Uingereza mwaka 2019 amerejea katika fani yake ya udaktari na kurejea Uingereza akitokea India ili kusaidia waathirika wa virusi vya Corona ambavyo vimesambaa duniani kote.
Mukherjee alipewa taji hilo Agosti mwaka jana (2019) na kuchukua mapumziko katika fani yake yake ya udaktari na kujikita zaidi katika shughuli za kijamii na tayari amerejea Uingereza kutoka nchini India katika safari ya shughuli za...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwanamitindo Tausi Likokola azuru nchini, kuzindua manukato yake

DSC_0322

Mwanamitindo wa kimataifa Mtanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere na kulakiwa na mama yake mdogo, Beatrice Likokola.(Picha zote na Zainul Mzige)

Na Andrew Chale wa modewji blog

MLIMBWENDE wa kitanzania anayefanya shughuli zake nchini Marekani, Tausi Likokola amewasili nchini mchana huu kwa lengo la kuzindua miradi yake anayoiendesha ambayo mingine ni kwa ajili ya kusaidia jamii ya...

 

5 years ago

Michuzi

KISA CORONA WAZIRI MKUU IRISH AREJEA KWENYE FANI YAKE YA UDAKTARI


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
MIAKA saba iliyopita Waziri mkuu wa Irish Leo Varadkar aliacha fani yake ya udaktari na kuingia kwenye siasa na leo amerudi katika fani yake ya awali akihudumu kama daktari ikiwa na sehemu ya kuisaidia nchi dhidi ya mlipuko wa virusi vya Corona (Covid -19) ambapo hadi sasa taifa hilo lina visa 4994 Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na chuo kikuu cha Johns Hopkins siku ya Jumatatu.
Varadkar aliyehudumu katika sekta ya afya kama daktari kwa miaka saba ...

 

11 years ago

BBC

Zambia mourns Dennis Lota

Zambian football legend Dennis Lota, who played at four Africa Cup of Nations finals, dies after a short illness in South Africa aged 40.

 

10 years ago

Mwananchi

Je, uongo ni fani?

Uchuku au uongo ama urongo ni hali na tabia ya kutosema kweli; tabia ya kudanganya na hata kutokuwa muwazi. Yupo mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema: ‘...lying is an art’ akimaanisha ya kwamba ‘tabia ya kusema uongo ni kipaji’ ama ni sanaa ya aina ya kificho na kipekee pia. Kipaji ni uwezo fulani alionao mtu unaomwezesha kulifanya jambo vizuri ni kipawa.

 

11 years ago

Mwananchi

Utalii wa fani ya picha uimarishwe

Moja ya changamoto zinazokabili sekta ya utalii ni utangazaji wa ndani na nje. Sekta hii kwa kweli ni muhimu sana katika maendeleo ya nchi, lakini mfumo wa utangazaji iliwateja waweze kujua vivutio vilivyoko bado haujaendelea sana.

 

10 years ago

Mwananchi

Fani katika tamthiliya ya Orodha

Fani ni ufundi wa kisanaa aliotumia mwandishi katika kazi yake. Fani inajumuisha muundo, mtindo, matumizi ya lugha, wahusika na mandhari.

 

10 years ago

GPL

MWANAMITINDO ALIYEPOTEA MAREKANI AKUTWA HOSPITALINI

Mwanamitindo raia wa Sudan aishie Marekani, Ataui Deng. Mwanamitindo raia wa Sudan aishie Marekani, Ataui Deng aliyepotea kwa muda wa wiki mbili huku akitafutwa na polisi amekutwa akiwa hai katika hospitali moja New York. Marafiki wa mwanamitindo huyo walitoa taarifa polisi na kuanzisha kampeni maalum ya kumtafuta baada ya kushindwa kumpata kwa kipindi kirefu, kampeni ambayo iliungwa mkono na watu maarufu akiwemo Rihanna....

 

10 years ago

Mtanzania

Jokate: Mwanamitindo bora ni mawasiliano mazuri

jokate2NA THERESIA GASPER
MWANAMITINDO Jokate Mwegelo amesema ili wanamitindo wadogo waweze kufanikiwa katika kazi zao, lazima wajenge mitandao ya mawasiliano mazuri na watu mbalimbali.
“Msanii unatakiwa kuwa mfano mzuri katika jamii kwa kufanya mambo yanayokubalika ili jamii iweze kukufikiria vizuri na wengine wajifunze mazuri kupitia wewe,” alisema Jokate, katika kongamano la Jukwaa la Sanaa lililofanyikia jana kwenye ukumbi wa BASATA, jijini Dar es Salaam.
Naye mwanamitindo Asia Idarous, alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani