MWANAMITINDO ALIYEPOTEA MAREKANI AKUTWA HOSPITALINI
![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdOR3jfzjNUmdO7hFmPjs5Ne8v0YsnQPXKMwruv6wTgcGSpl27RT2o8-RPZRITZQ1Xs6kQI02MngBmJ47uMfoduo/atauidengandmarihennyriverabysimonburstallforellefrancenovember20124.jpg?width=650)
Mwanamitindo raia wa Sudan aishie Marekani, Ataui Deng. Mwanamitindo raia wa Sudan aishie Marekani, Ataui Deng aliyepotea kwa muda wa wiki mbili huku akitafutwa na polisi amekutwa akiwa hai katika hospitali moja New York. Marafiki wa mwanamitindo huyo walitoa taarifa polisi na kuanzisha kampeni maalum ya kumtafuta baada ya kushindwa kumpata kwa kipindi kirefu, kampeni ambayo iliungwa mkono na watu maarufu akiwemo Rihanna....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Mtoto aliyepotea akutwa mtupu
MTOTO Lusia Moga (2) aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha Julai 8, mwaka huu kati Kijiji cha Bukore wilayani Bunda, Mara amekutwa akiwa mtupu nyumbani kwa Magembe Nyabu, mkazi wa kijiji...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-S0O8FKf2MnY/U-zg2vOZdYI/AAAAAAAF_q8/575lpAvP_8E/s72-c/Screen%2BShot%2B2014-08-14%2Bat%2B7.14.39%2BPM.png)
DEREVA TEXI ALIYEPOTEA AKUTWA AMEKUFA
![](http://1.bp.blogspot.com/-S0O8FKf2MnY/U-zg2vOZdYI/AAAAAAAF_q8/575lpAvP_8E/s1600/Screen%2BShot%2B2014-08-14%2Bat%2B7.14.39%2BPM.png)
BAADA ya dereva wa Texi Richard Ponera (36) mkazi wa Mwendapole wilayani Kibaha mkoani Pwani kupotea kwa siku nane amepatikana akiwa ameuwawa na kuporwa gari alilokuwa akiliendesha.
Marehemu ambaye alikuwa akifanyia shughuli zake kwenye kituo kikuu cha Mabasi cha Maili Moja wilayani humo alipotea Agosti 6 Mwaka huu majira ya saa 1 usiku alipokodishwa na watu wawili wasio fahamika waliojifanya kuwa ni wateja.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi kwa njia ya simu...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Aliyepotea sherehe za Mwaka Mpya akutwa amekufa
WATU wawili wameripotiwa kufariki dunia katika matukio tofauti akiwamo mkazi wa Kijiji cha Ihowanza, aliyetoweka wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya ambaye mwili wake umekutwa umeliwa na mbwa. Kamanda...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-Z8Ddsi546LU/VMaB4Ee6lMI/AAAAAAAAnMI/SSJ1KYbb_RA/s72-c/yuy.jpg)
Mwanamitindo Millen Magese Alazwa Tena Hospitalini, Atoa Ujumbe Mzito Akiwa Katika Maumivu Makali
![](http://1.bp.blogspot.com/-Z8Ddsi546LU/VMaB4Ee6lMI/AAAAAAAAnMI/SSJ1KYbb_RA/s640/yuy.jpg)
11 years ago
Bongo512 Aug
Muigizaji wa ‘Mrs Doubtfire’ Robin Williams wa Marekani akutwa amekufa nyumbani kwake
5 years ago
BBCSwahili06 Apr
Chui katika bustani ya wanyama ya Bronx, New York akutwa na virusi vya corona Marekani
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-5mPG52N-zm0/VgVReaOVvjI/AAAAAAAAt8w/RwIS4olLH5E/s72-c/20150925063642.jpg)
MTOTO ALIYEPOTEA NA HOUSE-GIRL APATIKANA
![](http://4.bp.blogspot.com/-5mPG52N-zm0/VgVReaOVvjI/AAAAAAAAt8w/RwIS4olLH5E/s640/20150925063642.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-epMam56GaSk/VgVReKNI8OI/AAAAAAAAt80/jTpBCrZvPHk/s640/20150925063641.jpg)
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Mtoto aliyepotea auawa kikatili, maiti yaokotwa
10 years ago
CloudsFM22 Jan
POLISI MWANZA WAMSAKA MTOTO ALBINO ALIYEPOTEA
POLISI wametangaza kutoa dau la shilingi milioni tatu sawa na dola 1,700 kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa mtoto albino, Pendo Emmanuel aliyetoweka nyumbani kwake na kupelekwa mahali pasipojulikana mwezi uliopita mkoani Mwanza.
Awali watu 15 walikamatwa na jeshi la Polisi mkoani Mwanza kufuatia msako unaojulikana kama 'Hakuna kulala' dhidi mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) Pendo Emanuel kutekwa na watu wasiojulikana usiku wa tarehe 27.12.2014 nyumbani kwao...