MTOTO ALIYEPOTEA NA HOUSE-GIRL APATIKANA
![](http://4.bp.blogspot.com/-5mPG52N-zm0/VgVReaOVvjI/AAAAAAAAt8w/RwIS4olLH5E/s72-c/20150925063642.jpg)
Taarifa mpya kutoka kwa familia ya Jullu inasema kuwa mtoto wao Loveness Coletha aliyepotea na dada yake amepatikana na mzazi wake amesafiri kwenda jijini Mwanza kumchukua.
Tunashukuru wote waliojumuika kuifariji familia kwa maneno ya kutia moyo, walioguswa na kuombea matumaini kwa sala, wote waliosambaza ujumbe kwa njia mbalimbali na zaidi sana, kwa watendaji wote wa mamlaka husika waliofanya kazi yao katika kufanikisha hili.Asanteni!
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-WOvPWsGCThQ/VgQSlrmJAiI/AAAAAAAAt48/g6B9oIUi0kk/s72-c/20150924075835.jpg)
Msaada: Mtoto apotea na house-girl
![](http://2.bp.blogspot.com/-WOvPWsGCThQ/VgQSlrmJAiI/AAAAAAAAt48/g6B9oIUi0kk/s640/20150924075835.jpg)
Wawili hao hawajaonekana tangu juzi Jumanne. Taarifa zimefikishwa katika kituo cha polisi na RPC wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni amekiri kupata taarifa za tukio hilo.
Ikiwa una taarifa zozote zitakazosaidia...
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Mtoto, ‘house girl’ wa diwani wachinjwa
MTOTO wa Diwani wa Mkangano, Estoni Kimwelu (CCM), na mfanyakazi wa ndani, Sista Nyilenda (17), wameuawa na watu wasiojulikana. Tukio hilo la kinyama lililotokea juzi saa nane mchana, eneo la...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-1y8ElOa7y_E/VGaBpcw5qhI/AAAAAAAGxUM/zOCWd8TyTEc/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
BINTI ALIYEPOTEA TANDIKA MWEZI OKTOBA APATIKANA AKIWA SALAMA SALIMINI
![](http://3.bp.blogspot.com/-1y8ElOa7y_E/VGaBpcw5qhI/AAAAAAAGxUM/zOCWd8TyTEc/s1600/unnamed%2B(13).jpg)
10 years ago
CloudsFM26 Nov
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Mtoto aliyepotea akutwa mtupu
MTOTO Lusia Moga (2) aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha Julai 8, mwaka huu kati Kijiji cha Bukore wilayani Bunda, Mara amekutwa akiwa mtupu nyumbani kwa Magembe Nyabu, mkazi wa kijiji...
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Mtoto aliyepotea auawa kikatili, maiti yaokotwa
10 years ago
CloudsFM22 Jan
POLISI MWANZA WAMSAKA MTOTO ALBINO ALIYEPOTEA
POLISI wametangaza kutoa dau la shilingi milioni tatu sawa na dola 1,700 kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa mtoto albino, Pendo Emmanuel aliyetoweka nyumbani kwake na kupelekwa mahali pasipojulikana mwezi uliopita mkoani Mwanza.
Awali watu 15 walikamatwa na jeshi la Polisi mkoani Mwanza kufuatia msako unaojulikana kama 'Hakuna kulala' dhidi mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) Pendo Emanuel kutekwa na watu wasiojulikana usiku wa tarehe 27.12.2014 nyumbani kwao...
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
HUSNA MALIMA: Mtoto aliyepotea katika mazingira tata
“HUWA machozi yananitoka ,nashindwa kula wala sipati usingizi, mtoto wangu kipenzi Husna Malima ametoweka katika mazingira ya kutatanisha wakati akicheza na wenzake.” Hayo ni maneno ya baba mzazi wa Husna(2); ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3A8rUyA9jKPU1d1v-n6*LI0dIebYPEJ99ovnEIQhXm-KC4Jc4J6uKGwKmL-*kRMIRCKwvIuDs2Djn5SRTfeyeNOYicz-a23J/IMG20140716WA0000001.jpg?width=650)
MTOTO ALIYEPOTEA CHANGANYIKENI YADAIWA ALICHUKULIWA NA BABA YAKE