Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BINTI ALIYEPOTEA TANDIKA MWEZI OKTOBA APATIKANA AKIWA SALAMA SALIMINI

Mtoto Mwasiti Abdulrazack Kakurwa, miaka 14 (pichani), aliyetoweka nyumbani kwao Tandika, Wilaya ya Temeke, Mkoa wa Dar es salaam, mnamo tarehe 31/10/2014, katika mazingira ya kutatanisha, amepatikana jana.Mwasiti ameletwa nyumbani kwa wazazi wake na bibi mmoja ombaomba anayesema kuwa binti huyo aliletwa maeneo ya kitumbini wanakolala ombaomba na Wanawake watatu Usiku na baadae wanawake hao wakatoweka katika mazingira ya ajabu! Baadae huyo bibi alimchukuwa Mwasiti na kukaa naye. Alipomuuliza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Ykileo

OKTOBA NI MWEZI WA KUKUZA UELEWA WA MATUMIZI SALAMA YA MITANDAO


Miaka 11 iliyopita Marekani ikitambua ukuaji wa matumizi mabaya ya mitandao walianzisha kampeni maalum iliyoamuliwa kufanyika kila mwezi oktoba. Kampeni hiyo maalum ilihamasisha mashule , kampuni binafsi na  serikali kutumia mwezi oktoba kuhamashisha uelewa wa matumizi salama ya mitandao.


Kadri muda ulivyojongea Mataifa mengine yaliamua kutumia mwezi huo kuwa mwezi wa kukuza uelewa wa matumizi salama ya mitandao ambapo sasa mataifa mengi tayari yamesha kua yakiazimisha kampeni hizi. Mwaka huu...

 

9 years ago

Vijimambo

MTOTO ALIYEPOTEA NA HOUSE-GIRL APATIKANA

Taarifa mpya kutoka kwa familia ya Jullu inasema kuwa mtoto wao Loveness Coletha aliyepotea na dada yake amepatikana na mzazi wake amesafiri kwenda jijini Mwanza kumchukua.Tunashukuru wote waliojumuika kuifariji familia kwa maneno ya kutia moyo, walioguswa na kuombea matumaini kwa sala, wote waliosambaza ujumbe kwa njia mbalimbali na zaidi sana, kwa watendaji wote wa mamlaka husika waliofanya kazi yao katika kufanikisha hili.Asanteni!​

 

9 years ago

StarTV

Mchezaji wa zamani wa Ivort Coast apatikana akiwa amefariki baada ya kupotea  

 

Mwili wa mlinzi wa zamani wa timu ya Wigan Athletic ya England Steve Gohouri umepatikana kando ya mto Rhine Magharibu mwa mji wa Krefeld nchini Ujerumani.

Gohouri mchezaji wa kimataifa wa zamani wa Ivort Coast aliyechezea Wigani mechi 42 kati ya mwaka 2010 na 2012,alikwenda Paris kuitembelea familia yake lakini hakurudi na hakuonekana tena.

Desemba 12 mwaka uliopita Gohouri polisi iliripoti kupotea kwake baada ya kuhudhuria sherehe ya Krismass akiwa na klabu yake ya TSV Stetnbach ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Uchaguzi mwezi Oktoba

Uchaguzi Ujao Mwaka huu tutambue, mwezi wa kumi ujao, Ujao tufikirie, uchaguzi mwezi huo, Huo mwezi tuchague, viongozi  wafaao Tuchague wafaao, Watanzania wenzangu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona Ecuador: Wakati familia zinatafuta wapendwa wao mwanamke apatikana akiwa hai

Ecuador ikiwa imeathirika vibaya na ugonjwa wa Covid-19 familia ziko mbioni kutafuta miili ya wapendwa waohuku mama aliyesemekana amekufa akipatikana akiwa hai.

 

10 years ago

Mwananchi

Roda; binti aliyelipiwa kishika uchumba akiwa na miaka 15

“Natamani kuondoka eneo hili lenye mila na desturi nyingi potofu zinazoninyima haki, sina amani hata kidogo na moyoni mwangu sioni nuru ya maisha yangu”

 

10 years ago

GPL

OKTOBA 2015 NI MWEZI WA LAANA AU UTUKUFU

Hayati Mwalimu Nyerere. SOTE kwa pamoja tumshukuru Mungu kwa kutuweka hai leo, hili ni jukumu letu la kila siku, usiku na mchana.
Baada ya utangulizi huo, nianze kwa kusema kuwa taifa sasa linapita katika changamoto nyingi. Serikali yenyewe ina madeni mengi, wananchi wana matatizo ya maisha kutokana na mifumuko ya bei na baya zaidi hivi sasa kuna upungufu mkubwa wa mshikamano miongoni mwetu. Haya ni matatizo makubwa. Baada ya...

 

10 years ago

Vijimambo

TOTO AFRICAN KUFANYA UCHAGUZI MWEZI OKTOBA 2015

Klabu ya Toto African ya Mwanza inatarajiwa kufanya uchaguzi wa kujaza nafasi zilizo wazi katika kamati yake ya utendaji ifikapo tarehe 11 Oktoba 2015. 
Katika barua yake kwa Katibu Mkuu wa Toto African, Katibu Mkuu wa TFF ameuagiza uongozi wa Toto African kuwasiliana na Kamati yao ya Uchaguzi ili tangazo la uchaguzi litolewe si chini ya siku sitini (60) kabla ya tarehe ya kufanyika uchaguzi.

Kwa muda mrefu kumekuwa na mvutano katika klabu ya Toto na suala kubwa likiwa ni kuhusu ujazaji wa...

 

9 years ago

Michuzi

KILA JUMATATU YA KWANZA YA MWEZI OKTOBA NI SIKU YA MAKAZI DUNIANI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI TAARIFA KWA UMMA

 Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inapenda kuwataarifu  Wananchi wote kwamba kila Jumatatu ya kwanza ya mwezi Oktoba ni Siku ya Makazi Duniani  ambayo huadhimishwa Duniani kote.
Nchini, mwaka huu tarehe 05/10/2015  –  Jumatatu, Maadhimisho ya siku hii yanategemewa kufanyika katika viwanja vya Karimjee kuanzia saa mbili na nusu asubuhi (2:30) mpaka saa nane mchana (8:00).


Kauli Mbiu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani