Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Virusi vya corona Ecuador: Wakati familia zinatafuta wapendwa wao mwanamke apatikana akiwa hai

Ecuador ikiwa imeathirika vibaya na ugonjwa wa Covid-19 familia ziko mbioni kutafuta miili ya wapendwa waohuku mama aliyesemekana amekufa akipatikana akiwa hai.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Wakati sherehe za Pasaka zikianza, familia zinahisi kuhangaika

Wakati familia zimefungiwa ndani ya nyumba zinakabiliwa na shinikizo gani juu ya mahusiano?

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Mfahamu mwanamke aliyebaini virusi vya corona kabla ya Covid-19

June Almeida alikuwa bingwa wa ugunduzi wa virusi, lakini alikuwa amesahaulika mpaka mlipuko wa corona ulipoibuka ndio akakumbukwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Serikali ya Ecuador inavyopambana kuzika waliofariki

Miili imetapakaa Guayaquil nchini Ecuador, serikali yazidiwa na idadi kubwa ya vifo, mji huo umeathirika zaidi Amerika ya Kusini

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Tutaweza vipi kulinda bayoanuwai wakati wa corona?

Wakati huu wa virusi vya corona bayoanuwai na mazingira kwa ujumla vimeathirika. Lakini je bayoanuwai inaweza kulindwa vipi wakati huu wa virusi corona?. Wataalamu wanaeleza

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Congo inavyopambana na Ebola na corona kwa wakati mmoja

Wakati ugonjwa wa Corona ukisambaa nchini humo, mamlaka ya afya ambayo sasa zinakabiliana na magonjwa yote mawili ya mlipuko hatari wakati wakiwahudumia wagonjwa wa mlipuko wa kipindupindu pia.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Simu ilivyomsaidia daktari wakati huu wa janga la corona

Vile simu ya daktari huyu ilivyokuwa mfariji wake kipindi hiki cha corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Changamoto anazokumbana nazo asiye na uwezo wa kuona wakati wa janga la Corona

Janga la coronavirus limesababisha matatizo kwa kila mmoja. Lakini je umewahi kujiuliza hali ikoje kwa wasio na uwezo na kuona?

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Itakua ni ''uendawazimu'' kuendesha uchaguzi wakati wa corona, asema rais wa Uganda

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuwa itakua ni 'uendawazimu' kuendesha uchaguzi wakati wa mlipuko wa virusi vya corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Apata maambukizi akiwa gerezani

Nyota wa Iran, Fatemeh Khishvand aliyekuwa amepata virusi vya corona akiwa gerezani, kulingana na wakili wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani