Mchezaji wa zamani wa Ivort Coast apatikana akiwa amefariki baada ya kupotea Â
Mwili wa mlinzi wa zamani wa timu ya Wigan Athletic ya England Steve Gohouri umepatikana kando ya mto Rhine Magharibu mwa mji wa Krefeld nchini Ujerumani.
Gohouri mchezaji wa kimataifa wa zamani wa Ivort Coast aliyechezea Wigani mechi 42 kati ya mwaka 2010 na 2012,alikwenda Paris kuitembelea familia yake lakini hakurudi na hakuonekana tena.
Desemba 12 mwaka uliopita Gohouri polisi iliripoti kupotea kwake baada ya kuhudhuria sherehe ya Krismass akiwa na klabu yake ya TSV Stetnbach ya...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Baada ya kupotea kwa wiki mbili, staa wa soka Ivory Coast amekutwa amefariki mtoni Ujerumani …
Ikiwa ndani ya wiki zisizo pungua tatu ulimwengu wa soka umepokea taarifa za vifo vya wanasoka wawili, mchezaji wa timu ya taifa ya Honduras Arnold Peralta na aliyekuwa mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya El Salvador Alfred Pacheco. January 2 ulimwengu wa soka umepokea taarifa za kifo cha beki wa zamani wa timu ya taifa ya […]
The post Baada ya kupotea kwa wiki mbili, staa wa soka Ivory Coast amekutwa amefariki mtoni Ujerumani … appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Bongo Movies15 May
Baada ya Kupotea kwa Muda: Wema Sepetu Arudi tena Mzigoni Akiwa na JB
Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu ameshare nasi kipande kidogo cha video ya kazi mpya inayokwenda kwa jina la Chungu Cha Tatu akiwa na Staa mwenzake, Jacob Stephen 'JB' wakiwa 'lokesheni'.
Kwa muda mrefu sasa Wema Sepetu amekuwa afanyi filamu, Bila shaka mashabiki wake wana hamu kubwa sana ya kumuona tena kwenye filamu.
Jionee kipande cha kazi hiyo HAPA
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-HxhISKJPWSQ/XnhVh-qVk9I/AAAAAAACJJA/aycwqgshgWkhQddyENKGi5IdNFxXpmsigCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200323_091307_393.jpg)
MBUNGE WA ZAMANI WA UKONGA DK. MAKONGORO MAHANGA AMEFARIKI DUNIA
![](https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/mahanga.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-HxhISKJPWSQ/XnhVh-qVk9I/AAAAAAACJJA/aycwqgshgWkhQddyENKGi5IdNFxXpmsigCLcBGAsYHQ/s200/IMG_20200323_091307_393.jpg)
Katibu wa Chadema Mkoa wa kichama hicho wa Ilala, Jerome Olomi amethibitisha na kusema Dk. Makongoro ambaye alikuwa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa huo wa Kichama Jijini Dar es Salaam, amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Machi 23, 202
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-1y8ElOa7y_E/VGaBpcw5qhI/AAAAAAAGxUM/zOCWd8TyTEc/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
BINTI ALIYEPOTEA TANDIKA MWEZI OKTOBA APATIKANA AKIWA SALAMA SALIMINI
![](http://3.bp.blogspot.com/-1y8ElOa7y_E/VGaBpcw5qhI/AAAAAAAGxUM/zOCWd8TyTEc/s1600/unnamed%2B(13).jpg)
10 years ago
BBCSwahili16 Jan
Mchezaji wa zamani kuwania urais Fifa
9 years ago
Mtanzania22 Oct
Mchezaji wa zamani Coastal kumrithi Mayanja
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa klabu ya Coastal Union unatarajia kumkabidhi majukumu ya timu hiyo mchezaji wake wa zamani, Mbwana Bushiri, baada ya kutimuliwa kwa aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Jackson Mayanja.
Kikao cha Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo kilichokutana juzi, kilifikia uamuzi wa kumtimua kocha huyo raia wa Uganda kutokana na timu hiyo kufanya vibaya katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayoendelea.
Abushiri aliyewahi kuichezea timu ya Taifa ya Tanzania...
9 years ago
Dewji Blog01 Jan
Mwanamuziki nguli na mshindi wa tuzo za Grammy, Natalie Cole amefariki dunia akiwa na miaka 65!!
Mwanamuziki nguli na mshindi wa tuzo mbalimbali zikiwemo za Grammy , Mwanamama Natalie Cole (Pichani) amefariki dunia usiku wa Desemba 31. Nchini Marekani huku taarifa za kifo chake zikitaarifiwa mapema leo Januari Mosi.
Na Andrew Chale, Modewjiblog
Gwiji huyo ambaye mpaka anapatwa na mahuti, ameweza kufikisha umri wa miaka 65 ni miongoni mwa wanamuziki wakongwe waliotoka katika familia ya wanamuziki mahiri. Natalie Cole enzi za uhai wake ameweza kutoa albma kadhaa na ameweza kufanya...
5 years ago
BBCSwahili21 Mar
Mwanamuziki maarufu wa muziki wa Country Ken Rogers amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81