Mchezaji wa zamani Coastal kumrithi Mayanja
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa klabu ya Coastal Union unatarajia kumkabidhi majukumu ya timu hiyo mchezaji wake wa zamani, Mbwana Bushiri, baada ya kutimuliwa kwa aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Jackson Mayanja.
Kikao cha Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo kilichokutana juzi, kilifikia uamuzi wa kumtimua kocha huyo raia wa Uganda kutokana na timu hiyo kufanya vibaya katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayoendelea.
Abushiri aliyewahi kuichezea timu ya Taifa ya Tanzania...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMAYANJA ATUA TANGA, ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUIFUNDISHA COASTAL UNION
10 years ago
BBCSwahili16 Jan
Mchezaji wa zamani kuwania urais Fifa
9 years ago
Dewji Blog27 Sep
TFF: Yatuma salamu za rambirambi Coastal Union baada ya kuondokewa na mchezaji wao U20
Rais wa Shirikisho la Soka nchini, Jamal Malinzi..
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetuma salam za rambirambi kwa mwenyekiti wa klabu ya Coastal Union, Dr Twaha Ahmed kufuatia kifo cha mchezaji Mshauri Salim aliyefariki jana jioni jijini Tanga.
Katika salam hizo za Rais wa TFF, Jamal Malinzi kwenda kwa uongozi wa klabu ya Coastal Union, amewapa pole wafiwa ndugu jamaa na marafiki pamoja na uongozi wa klabu hiyo na kusema TFF wako nao pamoja katika kipindi hichi cha...
9 years ago
StarTV04 Jan
Mchezaji wa zamani wa Ivort Coast apatikana akiwa amefariki baada ya kupotea Â
Mwili wa mlinzi wa zamani wa timu ya Wigan Athletic ya England Steve Gohouri umepatikana kando ya mto Rhine Magharibu mwa mji wa Krefeld nchini Ujerumani.
Gohouri mchezaji wa kimataifa wa zamani wa Ivort Coast aliyechezea Wigani mechi 42 kati ya mwaka 2010 na 2012,alikwenda Paris kuitembelea familia yake lakini hakurudi na hakuonekana tena.
Desemba 12 mwaka uliopita Gohouri polisi iliripoti kupotea kwake baada ya kuhudhuria sherehe ya Krismass akiwa na klabu yake ya TSV Stetnbach ya...
10 years ago
VijimamboMCHEZAJI WA ZAMANI WA KMKM NA TIMU YA TAIFA. MCHA KHAMIS AFARIKI DUNIA
Buriani Mchezaji wa Zamani wa timu ya KMKM na Miembeni Zanzibar Mcha Khamis Mcha aliyefarika jana Mjini Dar-es-Salaam akipata matibabu katika hospitali ya Muimbili. kwa mujibu wa habari za ndugu wa karibu wamesema alikuwa akisumbulia na matatizo ya mkojo. Mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili Zanzibar leo katika bandari ya Malindi saa.6 mchana kwa Boti ya Azam Marine, baada ya kuwasili mwili wa marehemu utapelekwa Kijiji...
11 years ago
Michuzimatapeli walamba email ya Mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars Ally Mayay Tembele
Mbaya zaidi, katika email yake hiyo Ally Mayay Tembele aliwahi kuambatanisha nyaraka nyeti kadhaa ikiwemo pasipoti ambazo wezi hao wanazitumia kama alama...
11 years ago
Michuzi06 Jun
BREAKING NYUZZZZ....: MCHEZAJI WA ZAMANI WA TIMU YA SIMBA,GEBBO PETER AFARIKI DUNIA MCHANA HUU
GLOGU YA JAMII INAFATILIA TARATIBU ZOTE ZA MSIBA HUO NA TUTAENDELEA KUTAARIFIANA KADRI TUTAKAVYOKUWA TUKIZIPATA.
11 years ago
Dewji Blog23 Apr
Mchezaji wa zamani wa Majimaji ya Songea, Mtawa Kaparata aibuka mshindi wa shindano la Tanzania Movie Talents mkoani Mbeya
Na Josephat Lukaza wa Proin Promotions Limited – Mbeya
Shindano la Tanzania Movie Talents Kwa kanda ya Nyanda ya Juu Kusini, Mkoani Mbeya limefikia Tamati hapo jana kwa washindi watatu kutoka kanda hii ya nyanda ya juu Kusini Kupatikana na Kutangazwa na Majaji watatu.
Washindi waliotangazwa na Jaji Mkuu wa Shindano hilo, Roy Sarungi kwa kushirikiana na Majaji wawili Single Mtambalike na Yvonne Chery ni Steven Mapunda, Issalito Issaya na Mtawa Kaparata “BABU”
Mmoja kati ya washindi watatu...