Mchezaji wa zamani wa Majimaji ya Songea, Mtawa Kaparata aibuka mshindi wa shindano la Tanzania Movie Talents mkoani Mbeya
Na Josephat Lukaza wa Proin Promotions Limited – Mbeya
Shindano la Tanzania Movie Talents Kwa kanda ya Nyanda ya Juu Kusini, Mkoani Mbeya limefikia Tamati hapo jana kwa washindi watatu kutoka kanda hii ya nyanda ya juu Kusini Kupatikana na Kutangazwa na Majaji watatu.
Washindi waliotangazwa na Jaji Mkuu wa Shindano hilo, Roy Sarungi kwa kushirikiana na Majaji wawili Single Mtambalike na Yvonne Chery ni Steven Mapunda, Issalito Issaya na Mtawa Kaparata “BABU”
Mmoja kati ya washindi watatu...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMWANAAFA MWINZAGO AIBUKA KINARA WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014 NA KUONDOKA NA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 50 ZA KITANZANIA
10 years ago
MichuziShindano ya Tanzania Movie Talents Kanda ya nyanda za juu kusini Mbeya lakamilika, washindi watatu wapatikana
11 years ago
Dewji Blog20 Apr
Mashindano ya Tanzania Movie Talents yaanza mkoani Mbeya
![Untitled](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/Untitled34.jpg)
11 years ago
MichuziMASHINDANO YA TANZANIA MOVIE TALENTS YAANZA LEO MKOANI MBEYA
11 years ago
GPLMASHINDANO YA TANZANIA MOVIE TALENTS YAANZA LEO MKOANI MBEYA
10 years ago
MichuziMSHINDI WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO APOKELEWA KWA SHANGWE NA NDELEMO MKOANI KWAO MTWARA
10 years ago
GPLMSHINDI WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO APOKELEWA KWA SHANGWE MKOANI KWAO MTWARA
10 years ago
Michuzi17 Aug
Shindano la Tanzania Movie talents (TMT)