Mashindano ya Tanzania Movie Talents yaanza mkoani Mbeya
Mshiriki wa Tanzania Movie Talents akihojiwa mara baada ya kumaliza usaili katika Shindano la Tanzania Movie Talents linaloendelea muda huu katika Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo Soko Matola Mkoani Mbeya.
Baadhi ya washiriki waliojitokeza kwaajili ya kuhudhuria usaili wa Shindano la Tanzania Movie Talents wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa usaili.
Washiriki waliojitokeza kwaajili ya kushiriki mashindano yya Tanzania Movie Talents wakijaza fomu kwaajili ya usaili wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMASHINDANO YA TANZANIA MOVIE TALENTS YAANZA LEO MKOANI MBEYA
11 years ago
GPLMASHINDANO YA TANZANIA MOVIE TALENTS YAANZA LEO MKOANI MBEYA
11 years ago
MichuziMASHINDANO YA TANZANIA MOVIE TALENTS KUHAMIA KANDA YA KATI MKOANI DODOMA, ZOEZI LA KUTAFUTA WASHINDI KUANZA JUMAMOSI YA WIKI HII
Promotions Limited - Mwanza Hatimaye Kikosi Kazi cha Kampuni ya Proin Promotions Limited ambao ndio waratibu na waandaaji wa Mashindano ya Kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania yajulikanayo kama Tanzania Movie Talents (TMT) kinaondoka leo asubuhi Mkoani Mwanza Kuelekea Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuendelea na shindano la kusaka vipaji vya kuigiza.
Katika Kanda ya Kati mashindano yatafanyika Mkoani Dodoma katika Ukumbi wa African Dream kuanzia Jumamosi ya tarehe...
11 years ago
Dewji Blog23 Apr
Mchezaji wa zamani wa Majimaji ya Songea, Mtawa Kaparata aibuka mshindi wa shindano la Tanzania Movie Talents mkoani Mbeya
![Untitled](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/Untitled40.jpg)
Na Josephat Lukaza wa Proin Promotions Limited – Mbeya
Shindano la Tanzania Movie Talents Kwa kanda ya Nyanda ya Juu Kusini, Mkoani Mbeya limefikia Tamati hapo jana kwa washindi watatu kutoka kanda hii ya nyanda ya juu Kusini Kupatikana na Kutangazwa na Majaji watatu.
Washindi waliotangazwa na Jaji Mkuu wa Shindano hilo, Roy Sarungi kwa kushirikiana na Majaji wawili Single Mtambalike na Yvonne Chery ni Steven Mapunda, Issalito Issaya na Mtawa Kaparata “BABU”
Mmoja kati ya washindi watatu...
11 years ago
Michuzi07 Apr
11 years ago
Dewji Blog10 Apr
Mashindano ya Tanzania Movie Talents kutua Dodoma kusaka vipaji Jumamosi ya wiki hii
![Untitled](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/Untitled9.jpg)
Na Josephat Lukaza wa Proin Promotions Limited – Mwanza
Hatimaye Kikosi Kazi cha Kampuni ya Proin Promotions Limited ambao ndio waratibu na waandaaji wa Mashindano ya Kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania yajulikanayo kama Tanzania Movie Talents (TMT) kinaondoka leo asubuhi Mkoani Mwanza Kuelekea Mkoani Dodoma kwaajili ya kuendelea na shindano la kusaka vipaji vya kuigiza katika Kanda ya Kati ambapo mashindano yatafanyika Mkoani Dodoma katika Ukumbi wa African Dream kuanzia Jumamosi ya...
11 years ago
GPL07 Apr
11 years ago
MichuziSAFARI YA MCHUJO KWA WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) YAANZA RASMI LEO
11 years ago
MichuziHATIMAYE WASHINDI WATATU WA MASHINDANO YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI (TANZANIA MOVIE TALENTS) KWA KANDA YA ZIWA WAPATIKANA LEO JIJINI MWANZA