MSHINDI WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO APOKELEWA KWA SHANGWE NA NDELEMO MKOANI KWAO MTWARA
Mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Mtwara, Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 Mwanaafa Mwinzago akitoa Maneno ya Shukrani kwa Wakazi wa Mtwara waliojitokeza kuja Kumpokea uwanja wa Ndege wa Mtwara mapema Leo. Vilevile alitoa Shukrani zake zote kwa Watanzania Wote kwa Kuweza umpigia Kura na Kumfanya aibuke mshindi wa Milioni 50 za Tanzania katika fainali ya Shindano la Kusaka vipaji vya Kuigiza lijulikanalo Kama Tanzania Movie Talents (TMT).
Wapenzi, Mashabiki...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMSHINDI WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO APOKELEWA KWA SHANGWE MKOANI KWAO MTWARA
10 years ago
MichuziSTAR WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO AWA KIVUTIO MITAA YA KARIAKOO
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
10 years ago
GPLSTAR WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO AWA KIVUTIO MITAA YA KARIAKOO
10 years ago
MichuziMWANAAFA MWINZAGO AIBUKA KINARA WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014 NA KUONDOKA NA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 50 ZA KITANZANIA
10 years ago
GPLSTAA WA TMT 2014, MWANAAFA MWINZAGO ATEMBELEA GLOBAL PUBLISHERS
10 years ago
Dewji Blog31 Aug
Mwanaafa Mwinzago aibuka Kinara wa shindano la TMT 2014 na kuondoka na kitita cha shilingi Milioni 50 za Kitanzania
Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza akitoa neno kwa wadau waliojitokeza kushuhudia fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) lililokuwa pia likirushwa live kupitia Kituo Cha Runinga cha ITV.
Mwanaafa Mwinzago (katikati) akishangilia Mara baada ya kutangazwa Mshindi wa Kitita Cha Milioni 50 za Kitanzania katika Fainali ya Kumsaka Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City na...
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-GLpJ-JFTFYY/VFvaJzg8rfI/AAAAAAAAcsI/n-D51P_Pa_Q/s1600/dd.jpg)
MSHINDI WA TMT 2014 MWANAAFA MWINZAGU AFAULU MITIHANI YAKE YA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI MWAKA 2014
10 years ago
Dewji Blog27 Aug
Fainali ya Tanzania Movie Talents (TMT) kufanyika tarehe 30 August 2014 ndani ya ukumbi wa Mlimani City
Mc Pilipili akiongea mbele ya Waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari kuhusiana na fainali kubwa ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) litakalofanyika tarehe 30 August 2014 katika Ukumbi wa Mlimani City kuanzia Mida ya Saa 7:30 PM (Usiku) huku viingilio vikiwa ni Elfu Hamsini (50,000/=) kwa V.I.P na Elfu thelethini (30,000/=) kwa Kawaida. Wapili Kushoto ni Meneja Mradi TMT Joshua Moshi, Julieth Samson “Kemmy” ambae ni Mwalimu wa Nidhamu na Afisa Uhusiano TMT,...
11 years ago
Dewji Blog23 Apr
Mchezaji wa zamani wa Majimaji ya Songea, Mtawa Kaparata aibuka mshindi wa shindano la Tanzania Movie Talents mkoani Mbeya
![Untitled](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/Untitled40.jpg)
Na Josephat Lukaza wa Proin Promotions Limited – Mbeya
Shindano la Tanzania Movie Talents Kwa kanda ya Nyanda ya Juu Kusini, Mkoani Mbeya limefikia Tamati hapo jana kwa washindi watatu kutoka kanda hii ya nyanda ya juu Kusini Kupatikana na Kutangazwa na Majaji watatu.
Washindi waliotangazwa na Jaji Mkuu wa Shindano hilo, Roy Sarungi kwa kushirikiana na Majaji wawili Single Mtambalike na Yvonne Chery ni Steven Mapunda, Issalito Issaya na Mtawa Kaparata “BABU”
Mmoja kati ya washindi watatu...