STAR WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO AWA KIVUTIO MITAA YA KARIAKOO
Matron wa Kambi ya TMT 2014, Kemmy akichagua baadhi ya vitenge kwa Niaba ya Star Wa TMT 2014 Mwanaafa Mwinzago wakati alipopelekwa Kariakoo kwaajili ya Kununua Vitenge kama zawadi kwa wazazi wake.
Mshindi wa Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 Mwanaafa Mwinzago (Katikati) akisindikizwa na Matron pamoja na Mfanyakazi wa TMT huku akilindwa na Mabaunsa wakati alipopelekwa Katika Mitaa ya Kariakoo kwaajili ya kununua zawadi Kwaajili ya Wazazi wake.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSTAR WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO AWA KIVUTIO MITAA YA KARIAKOO
10 years ago
MichuziMSHINDI WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO APOKELEWA KWA SHANGWE NA NDELEMO MKOANI KWAO MTWARA
10 years ago
GPLMSHINDI WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO APOKELEWA KWA SHANGWE MKOANI KWAO MTWARA
10 years ago
MichuziMWANAAFA MWINZAGO AIBUKA KINARA WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014 NA KUONDOKA NA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 50 ZA KITANZANIA
10 years ago
GPLSTAA WA TMT 2014, MWANAAFA MWINZAGO ATEMBELEA GLOBAL PUBLISHERS
10 years ago
Dewji Blog31 Aug
Mwanaafa Mwinzago aibuka Kinara wa shindano la TMT 2014 na kuondoka na kitita cha shilingi Milioni 50 za Kitanzania
Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza akitoa neno kwa wadau waliojitokeza kushuhudia fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) lililokuwa pia likirushwa live kupitia Kituo Cha Runinga cha ITV.
Mwanaafa Mwinzago (katikati) akishangilia Mara baada ya kutangazwa Mshindi wa Kitita Cha Milioni 50 za Kitanzania katika Fainali ya Kumsaka Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City na...
10 years ago
Dewji Blog27 Aug
Fainali ya Tanzania Movie Talents (TMT) kufanyika tarehe 30 August 2014 ndani ya ukumbi wa Mlimani City
Mc Pilipili akiongea mbele ya Waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari kuhusiana na fainali kubwa ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) litakalofanyika tarehe 30 August 2014 katika Ukumbi wa Mlimani City kuanzia Mida ya Saa 7:30 PM (Usiku) huku viingilio vikiwa ni Elfu Hamsini (50,000/=) kwa V.I.P na Elfu thelethini (30,000/=) kwa Kawaida. Wapili Kushoto ni Meneja Mradi TMT Joshua Moshi, Julieth Samson “Kemmy” ambae ni Mwalimu wa Nidhamu na Afisa Uhusiano TMT,...
10 years ago
Dewji Blog23 Aug
Christian Bella kutoa burudani ya kufa mtu katika fainali ya Tanzania Movie Talents (TMT) tarehe 30 August 2014 Mlimani City
Christian Bella
Na Josephat Lukaza
Msanii wa Muziki wa Dansi anayejulikana kama Christian Bella anayetamba na kibao chake cha Nani Kama Mama ni Mmoja wa Wasanii watakaotoa Burudani ya Kufa mtu katika Ukumbi wa Mlimani City Siku ya Jumamosi Tarehe 30 katika Fainali kubwa ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT).
Bella Amehaidi kutoa Burudani ya uhakika ambapo wapenzi wa muziki wake watafurahi na kufurahishwa na show atakayoitoa siku hiyo katika Fainali ya Kumkabidhi Mshindi wa Shindano la...
10 years ago
GPLKINARA WA TMT, MWANAAFA MWINZAGO ALIVYOONDOKA NA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 50