matapeli walamba email ya Mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars Ally Mayay Tembele
![](http://4.bp.blogspot.com/-705-KEaj3Hc/U76czNPcX_I/AAAAAAAF0f0/nQ8cfxBDHv0/s72-c/MAYAI+NA+MOSHA.jpg)
Mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars Ally Mayay Tembele (pichani) anawaarifu ndugu, jamaa na marafiki pamoja na jamii ya Tanzania kwa jumla kwamba email address yake ya maya@yahoo.comimeibwa na matapeli na kuanza kutumika vibaya (phishing) kwa kudai kuwa yeye yupo Ukraine na amekumbwa na matatizo hivyo anaomba msaada wa pesa haraka.
Mbaya zaidi, katika email yake hiyo Ally Mayay Tembele aliwahi kuambatanisha nyaraka nyeti kadhaa ikiwemo pasipoti ambazo wezi hao wanazitumia kama alama...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMCHEZAJI WA ZAMANI WA KMKM NA TIMU YA TAIFA. MCHA KHAMIS AFARIKI DUNIA
Buriani Mchezaji wa Zamani wa timu ya KMKM na Miembeni Zanzibar Mcha Khamis Mcha aliyefarika jana Mjini Dar-es-Salaam akipata matibabu katika hospitali ya Muimbili. kwa mujibu wa habari za ndugu wa karibu wamesema alikuwa akisumbulia na matatizo ya mkojo. Mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili Zanzibar leo katika bandari ya Malindi saa.6 mchana kwa Boti ya Azam Marine, baada ya kuwasili mwili wa marehemu utapelekwa Kijiji...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-rqP7uHznJSU/VHc3NkxqO-I/AAAAAAAAY4k/_vImRzh8S_Q/s72-c/1.jpg)
MCHEZAJI EMERSON ALIYELETWA YANGA KWA MAJARIBIO HAJAWAHI CHEZA HATA MECHI MOJA KWENYE TIMU YAKE YA ZAMANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-rqP7uHznJSU/VHc3NkxqO-I/AAAAAAAAY4k/_vImRzh8S_Q/s1600/1.jpg)
Timu anayochezea ya Bonsucesso FC inashika nafasi ya 13 na imeshinda michezo mitatu na kupoteza michezo 6 na kutoka suluhu michezo 6.
Habari kwa hisani ya...
9 years ago
Habarileo29 Oct
Stars yamkuna Mayay
MCHEZAJI wa zamani wa Yanga na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ , Ally Mayay amesema kikosi cha Taifa Stars kimesheheni vijana wengi ambao wanaweza kucheza kwenye timu hiyo hata kwa muda mrefu.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-EM0Smvgtzvk/VOnVvhZ7X3I/AAAAAAAHFNY/bPBVubypRFg/s72-c/unnamed%2B(40).jpg)
DRFA,YAMLILIA KIUNGO WA ZAMANI WA SIMBA NA TAIFA STARS-CHRISTOPHER ALEX
![](http://2.bp.blogspot.com/-EM0Smvgtzvk/VOnVvhZ7X3I/AAAAAAAHFNY/bPBVubypRFg/s1600/unnamed%2B(40).jpg)
Mwenyekiti wa DRFA,Almas Kasongo,amemuelezea marehemu Christopher kuwa ni mchezaji aliyevuma enzi za uhai wake na kuiletea heshima kubwa klabu yake ya Simba na Taifa Kwa ujumla,pale walipofanikiwa kuisukumiza nje ya...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WO5mDj01tcQ/VQh1v_UlN5I/AAAAAAAHLIw/MDfGpIZk9AY/s72-c/1.jpg)
Kocha wa Zamani wa Taifa Stars,marehemu Sylvester Marsh azikwa leo jijini Mwanza
![](http://3.bp.blogspot.com/-WO5mDj01tcQ/VQh1v_UlN5I/AAAAAAAHLIw/MDfGpIZk9AY/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-bJPHSmsAeyg/VQhrlhlwdnI/AAAAAAABL5A/_QDH4Rn4BDE/s1600/19.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-UCAbEWcXY9M/VW2GxJ6XxMI/AAAAAAABKfc/iXCGKA63nWA/s72-c/nyerere13bc.jpg)
MIAKA 50 YA TFF YAWATUZA NYERERE, MKAPA MWINYI, SIMBA NA YANGA, STARS YA ZAMANI NDANI
![](http://2.bp.blogspot.com/-UCAbEWcXY9M/VW2GxJ6XxMI/AAAAAAABKfc/iXCGKA63nWA/s640/nyerere13bc.jpg)
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa tuzo kwa kuwatunuku wanamichezo mbalimbali wakiwemo Marais wote wa awamu nne za uongozi wa Tanzania akiwemo baba wa taifa, marehemu Julius K Nyerere.
Uamuzi wa TFF kuwatuza watu hao wakiwemo waandishi wa habari, wachezaji wa zamani wa timu ya taifa, waandishi wa habari na wengineo ni kutambua mchambo wao katika maendeleo ya soka nchini wakati Fifa inatimiza miaka 50.
VIONGOZI WA KITAIFA:
1. Rais Msataafu Mwl. Julius K Nyerere
2. Rais Mstaafu Ali Hassan...