Stars yamkuna Mayay
MCHEZAJI wa zamani wa Yanga na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ , Ally Mayay amesema kikosi cha Taifa Stars kimesheheni vijana wengi ambao wanaweza kucheza kwenye timu hiyo hata kwa muda mrefu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-705-KEaj3Hc/U76czNPcX_I/AAAAAAAF0f0/nQ8cfxBDHv0/s72-c/MAYAI+NA+MOSHA.jpg)
matapeli walamba email ya Mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars Ally Mayay Tembele
![](http://4.bp.blogspot.com/-705-KEaj3Hc/U76czNPcX_I/AAAAAAAF0f0/nQ8cfxBDHv0/s1600/MAYAI+NA+MOSHA.jpg)
Mbaya zaidi, katika email yake hiyo Ally Mayay Tembele aliwahi kuambatanisha nyaraka nyeti kadhaa ikiwemo pasipoti ambazo wezi hao wanazitumia kama alama...
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Tusker FC yamkuna Logarusic
KOCHA Mkuu wa Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic, juzi usiku alitinga kwenye Uwanja wa Amaan mjini hapa na kushuhudia mchezo mkali wa Kombe la Mapinduzi uliokuwa ukichezwa kati ya Azam FC...
10 years ago
Mwananchi13 Aug
Ziara Yanga yamkuna Mwambusi
Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema ujio wa Yanga ndani ya Jiji la Mbeya hilo ni kama zali kwao kwani mechi yao ya kirafiki watakayocheza nao Jumapili itamsaidia kukijenga kikosi chake.
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Tusiime ‘yamkuna’ waziri Kawambwa
>Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa, ameipongeza Shule ya Tusiime ya jijini Dar es Salaam kwa kushika nafasi ya pili kitaifa katika matokeo ya mitihani ya darasa la saba mwaka jana.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7fSVyjXLzVgQYNp73NHx9LdvZmj6IyEndpytMg*n2yFB55r6jXcsA1zDuEJbfFEnpPn*wr1wc2N*QX4mwRLIP64pFnNrFbPB/mai.jpg)
SHERIA YA MTANDAO YAMKUNA MAI
Mtangazaji maarufu wa televisheni Bongo, Maimartha Jesse. Gladness Mallya MTANGAZAJI maarufu wa televisheni Bongo, Maimartha Jesse amekunwa na sheria ya mtandao iliyoanza kutumika hivi karibuni kwa kile alichosema matusi dhidi yake yamepungua. Akichonga na gazeti hili, Maimartha alisema amefurahi kupitishwa kwa sheria hiyo kwani alikuwa ni mtu wa kutukanwa kila siku na kwa ajili hiyo anamshukuru Rais Jakaya Kikwete kwa kuridhia...
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Mapokeo Kabibi yamkuna Abdukiba
p>KIBAO kipya kinachokwenda kwa jina la ‘Kibibi’ kilichoimbwa na mkali wa muziki wa kizazi kipya, Abdukiba kimeanza kufanya vizuri katika vituo mbalimbali vya redio. Wimbo huo umesambazwa katika vituo mbalimbali...
11 years ago
Michuzi12 Feb
shule ya makete girls yamkuna mkuu wa mkoa wa Njombe
10 years ago
VijimamboMECHI YA STARS UNITED NA ALL AFRICAN STARS MPAKA DAKIKA 90 MAMBO NI 5-5
Kutoka kushoto ni Dallah , Mundo na Ediga wachezaji wa Stars United wakitafakali jambo kabla ya mechi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania