Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


shule ya makete girls yamkuna mkuu wa mkoa wa Njombe

 Mkuu wa mkoa wa Njombe kapteni Mstaafu Aseri Msangi(katikati) akikagua majengo ya shule mpya wa wasichana wilayani Makete, kushoto ni mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro na kulia ni mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Makete Daniel Okoka.  Ukaguzi huo ukiendelea.  Wananchi wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni Msangi(hayupo pichani) akizungumza nao  Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro akizungumza kwenye mkutano shuleni hapo  Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni Mstaafu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MVUA MAKETE ILIVYOMKWAMISHA MKUU WA MKOA WA NJOMBE KWENYE TOPE

Gari la mkuu wa mkoa wa Njombe likiwa limekwama kwenye tope kijiji cha utweve makete.   Wadau wakisukuma gari hilo, na huyu ni mwenyekiti wa kijiji cha Utweve akijitahidi kusukuma.  Hali tete hapa, gari hilo likiwa limenasa mtaroni  wadau wakijitahidi kuvuta gari hilo  jitihada zikiendelea. Gari la mkuu wa mkoa wa Njombe, kapteni mstaafu Aseri Msangi limekwama kwa zaidi ya saa kadhaa katika kijiji cha Utweve wilayani Makete wakati akiwa ziarani kukagua maendeleo ya sekondari ya...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA NJOMBE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA TENKI LA MAJI MWONGOLO MAKETE MJINI

 Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapeteni Mstaafu Aseri Msangi akiweka jiwe la msingi ujenzi wa tanki la maji lililopo Mwongolo Makete Mjini.  Mkuu wa mkoa wa Njombe kapt. Mstaafu Aseri Msangi akimsikiliza meneja wa maji Makete mjini akisoma taarifa, kushoto kwake ni mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro. Meneja wa mamlaka ya maji makete mjini, Bw. Yonas Ndomba akimkabidhi taarifa ya ujenzi wa tanki la maji la Mwongolo Makete mjini Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi.

 

10 years ago

Michuzi

IDARA YA UHAMIAJI MKOA WA NJOMBE YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA WILAYANI MAKETE

Hivi karibuni Idara ya uhamiaji mkoa wa Njombe iliunga mkono jitihada za mkuu wa wilaya ya makete Josephine Matiro kusaidia vituo vya watoto yatima wilayani humo kwa kutoa msaada wa zaidi ya shilingi milioni 1
Akizungumza wakati akikabidhi msaada wao afisa uhamiaji mkoa wa Njombe Rose Mhagama alisema wameguswa na suala hilo na kuamua kuvisaidia vituo vya watoto yatima Makete vitu mbalimbali, na kuwaomba wadau wengine kujitokeza kuwasaidia watoto hao
Kwa upande wake Mkuu wa wilaya Hiyo Bi...

 

10 years ago

Michuzi

SEKONDARI YA MAKETE GIRLS YATII MAAGIZO YA MKUU WA WILAYA

 Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akizungumza na wanafunzi wa Makete Girls Sekondari (hawapo Pichani) na pia kutoa maagizo kwa uongozi wa shule.
Shule ya sekondari ya wasichana (Makete Girl's) imetii agizo la mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro la kutaka wanafunzi hao wapewe uji mara baada ya vipindi viwili vya asubuhi badala ya saa nne agizo alilolitoa Agosti 8 mwaka huu
Hali kadhalika mkuu huyo aliagiza wapewe chakula cha mchana saa saba ili kuweka uwiano mzuri wa muda...

 

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU MKOA WA NJOMBE YAFANA, MKUU WA MKOA ATILIA MKAZO SUALA LA ELIMU

 Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi akihutubia mamia ya wananchi waliofurika viwanja vya mabehewani wilayani Makete mkoani Njombe katika maadhimisho ya wiki ya elimu kimkoa.(Picha/habari na Edwin Moshi, Makete) Licha ya serikali kuendelea kutatua changamoto lukuki katika sekta ya elimu nchini, wadau wa elimu mkoani Njombe wametakiwa kuwajibika kila mmoja kwa nafasi yake, ili kuinua kiwango cha elimu mkoani humo kwa kuwa ni agizo la serikali hasa katika mkakati wa matokeo...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA MAKETE AFUNGA RASMI MAFUNZO YA MADEREVA BODABODA NA WAJASIRIAMALI MAKETE

Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akitoa hotuba yake wakati akifunga mafunzo kwa madereva bodaboda wilayani Makete. Mafunzo hayo yametolewa na shirika la APEC  Madereva bodaboda wakifurahia kupatiwa vyeti vya mafunzo hayo.  Bi Rehebian Mahenge ambaye alikuwa katibu katika mafunzo hayo akisoma risala mbele ya mgeni rasmi  Bi Mahenge akimkabidhi risala mkuu wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro ambaye pia alikuwa mgeni rasmi katika mafunzo hayo. Kwa picha zaidi BOFYA...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA MAKETE ATOA RAI KWA JAMII YA MAKETE KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KWENYE MAZINGIRA HATARISHI

 Mkuu wa wilaya ya Makete mwenye suti nyeusi (aliyesuka nywele) Mh. Josephine Matiro, mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Helen Kijo Bisimba (kulia kwa mkuu wa wilaya) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto walioshiriki maadhimisho hayo.  Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro(wa tatu kushoto walioketi) na Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Helen Kijo Bisimba (wa pili walioketi kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa shirika la...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA NJOMBE AFUNGUA KIKAO KAZI CHA BIASHARA YA KILIMO

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mh. Dk. Rehema Nchimbi akifungua kikao kazi cha biashara ya kilimo kwa kongani ya Ihemi iliyoandaliwa na SAGCOT (Southern Agricultural Growth Corridor of Tanzania) kwa ushirikiano na UONGOZI Institute (Taasisi ya Uongozi Afrika kwa Maendeleo Endelevu) mapema leo Iringa mjini. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Kilimo wa TCCIA Bi. Magadalena Mkocha, Mwenyikiti wa Bodi ya Agricultural Council of Tanzania Dk. Sinare Y. Sinare, DC wa Iringa Mh. Angeline Mabula,...

 

11 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA YA MAKETE ATOA RAI KWA JAMII YA MAKETE KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KWENYE MAZINGIRA HATARISHI‏

 Mkuu wa Wilaya ya Makete mwenye suti nyeusi (aliyesuka nywele) Mh. Josephine Matiro, mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Helen Kijo Bisimba (kulia kwa mkuu wa wilaya) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto walioshiriki maadhimisho hayo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani