SEKONDARI YA MAKETE GIRLS YATII MAAGIZO YA MKUU WA WILAYA
Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akizungumza na wanafunzi wa Makete Girls Sekondari (hawapo Pichani) na pia kutoa maagizo kwa uongozi wa shule.
Shule ya sekondari ya wasichana (Makete Girl's) imetii agizo la mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro la kutaka wanafunzi hao wapewe uji mara baada ya vipindi viwili vya asubuhi badala ya saa nne agizo alilolitoa Agosti 8 mwaka huu
Hali kadhalika mkuu huyo aliagiza wapewe chakula cha mchana saa saba ili kuweka uwiano mzuri wa muda...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMKUU WA WILAYA YA MAKETE AFUNGA WARSHA YA MAAFISA KILIMO WILAYA YA MAKETE
11 years ago
GPLMKUU WA WILAYA YA MAKETE AFUNGA WARSHA YA MAAFISA KILIMO WILAYA YA MAKETE
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-oZzyoBzxuKA/VArD49fI4PI/AAAAAAAGfpU/7u1HNrIugus/s72-c/IMG_3365-.jpg)
MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 IWAWA SEKONDARI, MKUU WA WILAYA YA MAKETE ATOA WOSIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-oZzyoBzxuKA/VArD49fI4PI/AAAAAAAGfpU/7u1HNrIugus/s1600/IMG_3365-.jpg)
Walimu na wanafunzi wa shule ya sekondari Iwawa iliyopo Makete mkoani Njombe wametakiwa kutoridhika na kubweteka na shule hiyo kushika nafasi ya nne kitaifa katika matokeo ya kidato cha sita 2014 yaliyotangazwa miezi michache iliyopita
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro katika hafla ya kuwapongeza walimu wa Iwawa sekondari baada ya shule hiyo kushika nafasi ya 4 kitaifa, nafasi ya 2 kikanda na nafasi ya 1 kwa mkoa wa Njombe...
11 years ago
Michuzi07 Jun
MKUU WA WILAYA YA MAKETE AFUNGA RASMI MAFUNZO YA MADEREVA BODABODA NA WAJASIRIAMALI MAKETE
11 years ago
Michuzi16 Jun
MKUU WA WILAYA YA MAKETE ATOA RAI KWA JAMII YA MAKETE KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KWENYE MAZINGIRA HATARISHI
11 years ago
GPLMKUU WA WILAYA YA MAKETE ATOA RAI KWA JAMII YA MAKETE KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KWENYE MAZINGIRA HATARISHI
11 years ago
Michuzi12 Feb
shule ya makete girls yamkuna mkuu wa mkoa wa Njombe
11 years ago
GPLMKUU WA WILAYA YA MAKETE AZINDUA ALBAMU YA NYIMBO ZA INJILI
11 years ago
Michuzi22 Mar
Mkuu wa wilaya ya Makete afunga warsha ya maafisa kilimo