Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MECHI YA STARS UNITED NA ALL AFRICAN STARS MPAKA DAKIKA 90 MAMBO NI 5-5


 Kutoka kushoto ni Dallah , Mundo na Ediga wachezaji wa Stars United wakitafakali jambo kabla ya mechi All African Stars wakipata picha ya pamoja.                       Stars United wakipata  picha ya pamoja. Kifaa cha Stars United Elvis Mnyamuru akijaribu kumiliki mpira. Mmoja ya wachezaji wa All African Stars ya Atlanta akiwa chini baada ya kuchezewa rafu huku wachezaji wa Stars United. Mchezaji wa All African Stars (kulia) akijaribu kumtoka Edgar mmoja ya mchezaji wa Stars United Mchezaji...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

STARS UNITED YALAZIMISHWA SARE YA BAO 5-5 NA ALL AFRICAN STARS YA ATALANTA

 All African Stars wakipata picha ya pamoja.                       Stars United wakipata  picha ya pamoja.


Na Mwandishi wetu Atlanta, GATimu Stars United inayoundwa na nyota kutoka majimbo mbalimbali nchini Marekani siku ya Jumamosi Aug 1, 2015 katika kiwanja cha nyasi za bandia cha Hammond Dr kilichopo mji wa Sandy Spring jijini Atlanta jimbo la Georgia, ililazimishwa sare ya bao 5-5 katika mchezo mkali na wa kusisimua  zidi ya timu mchanganyiko iliyoundwa na wachezaji wa mataifa ya Afrika...

 

9 years ago

Vijimambo

STARS UNITED YAFUNGWA 6-1 NA DURHAM ALL STARS

 Manahodha wakipata picha na makocha. Timu ya Durham All Stars Timu ya Stars UnitedPicha ya timu zote mbili baada ya mechi
Timu ya Stars United inayoundwa na wachezaji mchanganyiko kutoka majimbo tofauti nchini Marekani ambao pia ndio mabigwa wa kombe la Afrika Mashariki, siku ya Jumamosi Octoba 10, 2015 ilipata kichapo cha goli 6-1 kutoka kwa timu inayoundwa na wachezaji mchanganyiko wa Durham, Durham All Stars katika mechi iliyochezwa katika uwanja wa South Durham uliopo Durham, NC.

Katika...

 

9 years ago

Vijimambo

TANZANIA STARS UNITED BARA NDIO MABINGWA WA KOMBE LA TAMASHA 2015 LA AFRIKA MASHARIKI YAIFUNGA RWANDA 5-1 NA KUIFUNGA ZANZIBAR 4-0 MECHI YA FAINALI

Wachezaji wa timu ya Tanzania Stars United Bara  wakifurahia kikombe cha utamaduni walichoshinda leo katika mashindao ya Tamasha 2015 yaliyoshirikisha timu 4, Kenya, Rwanda, Zanzibar na Tanzania Stars United Bara. Maratibu wa mashindano hayo Kaka DC (kushoto akiongea na akiwaweka sawa marefa toka Malawi.Manahodha wa timu ya Tanzania Stars United Bara na Rwanda wakiwa katika picha ya pamoja na marefa katika mechi ya kwanza ambayo Tanzania Stars United Bara waliibamiza Rwanda mabao 5-1Kwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Nyota Chelsea atumia dakika 9 kuiua Stars

pICHANA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
NYOTA wa Chelsea anayecheza kwa mkopo Fiorentina, Mohamed Salah, alitumia dakika tisa juzi usiku kuiongoza timu yake ya Taifa ya Misri kuiua Taifa Stars mabao 3-0.
Stars iliweza kuhimili vishindo vya Misri kwa takribani dakika 60 za mwanzo za mchezo huo wa Kundi G, kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2017 nchini Gabon.
Lakini Salah, aliyekuwa nyota wa mchezo huo, aliweza kupiga kona safi dakika ya 60 iliyozaa bao la kwanza lililofungwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

MECHI:Samata aibeba Taifa Stars

Mshambuliaji kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samata ameibuka shujaa baada ya kuifungia bao Taifa Stars ikilazimishwa sare 1-1 na Malawi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza jana.

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Mwananchi

Mechi ya lawama kwa Nooij, Stars

Dar es Salaam. Ni mtihani wa kwanza kwa kocha Martin Ignatius Nooij anapoanza safari ndefu na ngumu ya kulinda au kupoteza kibarua chake akiwa na kikosi cha Stars.

 

9 years ago

Michuzi

SIMU TV: MECHI YA TAIFA STARS NA ALGERIA

SIMU.TV: Taifa Stars na Algeria wazichapa katika uwanja wa taifa jijini  Dar es salaam ili kufuzu kuwania kombe la dunia;  https://youtu.be/i5DZb0UDAZU SIMU.TV Mambo ya Samatta sio ya kitoto  licha ya mpira kuwa wa moto kwelikweli kwa timu zote mbili  za Taifa stars na timu ya Algeria;  https://youtu.be/c6swRxcEjm8 SIMU.TV Huku ni kukosa bahati kwa mechi ya leo au? Angalia hali ilivyo dimbani kipindi cha kwanza. Hebu toa tathmini yako binafsi ;  https://youtu.be/_9xKvwLCrEg  SIMU.TV Mgagaa na...

 

9 years ago

Habarileo

Miamba minne yapisha mechi Stars

WAKATI miamba minne iliyo juu ya msimamo wa Ligi Kuu ikipumzika hadi Oktoba 17, mwaka huu kupisha maandalizi ya timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars, Ligi Kuu itaendelea leo na kesho kwa kuchezwa mechi tano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani