Miamba minne yapisha mechi Stars
WAKATI miamba minne iliyo juu ya msimamo wa Ligi Kuu ikipumzika hadi Oktoba 17, mwaka huu kupisha maandalizi ya timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars, Ligi Kuu itaendelea leo na kesho kwa kuchezwa mechi tano.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Miamba minne vitani Ligi ya Mabingwa Ulaya
Nyon, Uswisi. Mechi za kwanza za hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya zitachezwa kesho na keshokutwa kabla ya kuchezwa mechi za marudiano Aprili 29 na 30 Aprili 2014.
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Mtazamo wao ni kuwa miamba iligongana kwa pamoja na kuunda miamba mikubwa hadi kuwa sayari
Matokeo mapya yalichapishwa kwenye jarida la kisayansi limesema kuwa uundwaji huu ulikuwa wa utulivu , miamba ikijikusanya pamoja
10 years ago
VijimamboMECHI YA STARS UNITED NA ALL AFRICAN STARS MPAKA DAKIKA 90 MAMBO NI 5-5
Kutoka kushoto ni Dallah , Mundo na Ediga wachezaji wa Stars United wakitafakali jambo kabla ya mechi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiKOMd1GX7RU-lKxZGa4EuGsGgAUBNaP1NYBMmDK9PeZkla*c8vCuv-hMHrQ3QdkHXZLsqCu*PV3NHDhrm-ZrsGI/2.jpg)
NGASSA ASAINI MIAKA MINNE NA KLABU YA FREE STATE STARS YA AFRIKA KUSINI
Mrisho Ngassa akikabidhiwa jezi na Kocha wa Free State Stars, Kinnah Phiri leo, makao makuu ya klabu hiyo, Mtaa wa 22B President Boshoff mjini Bathlehem baada ya kusaini Mkataba wa miaka minne kuichezea timu hiyo. Na Mahmoud Zubeiry, BETHELEHEM KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa amesaini Mkataba wa miaka minne kujiunga na klabu ya Free State Stars ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini leo.
Ngassa, mume...
11 years ago
Michuzi22 Apr
10 years ago
Mwananchi20 Jun
Mechi ya lawama kwa Nooij, Stars
Dar es Salaam. Ni mtihani wa kwanza kwa kocha Martin Ignatius Nooij anapoanza safari ndefu na ngumu ya kulinda au kupoteza kibarua chake akiwa na kikosi cha Stars.
10 years ago
Mwananchi30 Mar
MECHI:Samata aibeba Taifa Stars
Mshambuliaji kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samata ameibuka shujaa baada ya kuifungia bao Taifa Stars ikilazimishwa sare 1-1 na Malawi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza jana.
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/w28RRVNBJdA/default.jpg)
SIMU TV: MECHI YA TAIFA STARS NA ALGERIA
SIMU.TV: Taifa Stars na Algeria wazichapa katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam ili kufuzu kuwania kombe la dunia; https://youtu.be/i5DZb0UDAZU SIMU.TV Mambo ya Samatta sio ya kitoto licha ya mpira kuwa wa moto kwelikweli kwa timu zote mbili za Taifa stars na timu ya Algeria; https://youtu.be/c6swRxcEjm8 SIMU.TV Huku ni kukosa bahati kwa mechi ya leo au? Angalia hali ilivyo dimbani kipindi cha kwanza. Hebu toa tathmini yako binafsi ; https://youtu.be/_9xKvwLCrEg SIMU.TV Mgagaa na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania