Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NGASSA ASAINI MIAKA MINNE NA KLABU YA FREE STATE STARS YA AFRIKA KUSINI

Mrisho Ngassa akikabidhiwa jezi na Kocha wa Free State Stars, Kinnah Phiri leo, makao makuu ya klabu hiyo, Mtaa wa 22B President Boshoff mjini Bathlehem baada ya kusaini Mkataba wa miaka minne kuichezea timu hiyo. Na Mahmoud Zubeiry, BETHELEHEM KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa amesaini Mkataba wa miaka minne kujiunga na klabu ya Free State Stars ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini leo.
Ngassa, mume...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Ngassa ajiunga Free State ya Afrika Kusini

Mshambuliaji wa Yanga akiwapungia mashabiki wa timu hiyo baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Azam juzi. Ngassa yuko njiani kutimkia Afrika Kusini kucheza soka la kulipwa. Picha na Anthony Siame.
Dar es Salaam. Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa amesaini mkataba wa miaka mitatu wa kuichezea klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini.Ngassa alifanya majaribio katika klabu hiyo ya Afrika Kusini alipokuwa na kikosi cha Taifa Stars nchini Botswana katikati ya mwaka jana.Katika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ngassa asaini kucheza Afrika Kusini

Sasa ni rasmi, Mrisho Ngassa amemwaga wino kuichezea klabu ya Free State Stars ya Ligi Kuu Afrika Kusini kwa miaka minne .

 

10 years ago

Mwananchi

SOKA: Ngassa ajifunga Free State

>Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa amesaini mkataba wa miaka mitatu wa kuichezea klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Serge Aurier asaini miaka minne Psg

Beki wa kulia wa timu ya taifa Ivory Coast, Serge Aurier,amesaini mkataba wa miaka nne kuitumikia timu ya Psg.

 

10 years ago

GPL

Ngassa asaini Sauz

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa. Na Wilbert Molandi,Dar es Salaam
HABARI ni kuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa amemalizana na Klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini inayoshiriki ligi kuu ya nchini humo. Hatua hiyo imekuja baada ya mchezaji huyo kusisitiza kuwa ataondoka klabuni hapo baada ya uongozi kutomlipia deni lake analodaiwa na benki.Wiki iliyopita kiungo huyo aliliambia gazeti hili kuwa yupo...

 

11 years ago

Mwananchi

Taifa Stars yajifua Afrika Kusini

>Msafara wa kikosi cha Taifa Stars utaondoka Afrika Kusini leo kwenda Maputo, kwa ajili ya pambano la marudiano dhidi ya Msumbiji  ‘Mambas’ litakalochezwa Jumapili kwenye Uwanja wa Nampeto.

 

10 years ago

BBCSwahili

Taifa Stars yaelekea Afrika ya Kusini

Timu ya Taifa ya Tanzania ,Jumatano inatarajiwa kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kushiriki michuano ya kombe la COSAFA.

 

9 years ago

Michuzi

STARS KUJIPIMA NA U23 YA AFRIKA KUSINI

 Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, kinatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na timu ya Taifa ya Afrika Kusini ya vijana wenye umri chini ya miaka 23 (Amaglug-glug) Jumanne jioni kwenye dimba la Eldorado jijini Johannesburg.Kwa mujibu wa taarifa toka TFF, mchezo huo wa kirafiki ni sehemu ya maandalizi ya kuwakabili Algeria Novemba 14 jijini Dar es salaa katika uwanja wa Taifa na marudiano yake kufanyika Novemba...

 

11 years ago

Mtanzania

Stars yaenda Afrika Kusini kusaka makali

Timu ya Taifa, Taifa Stars

Timu ya Taifa, Taifa Stars

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imeondoka jana kuelekea Afrika Kusini kujiandaa na mchezo wake wa marudiano dhidi ya Msumbiji, utakaochezwa Agosti 3 katika Uwanja wa Zimpeto, mjini Maputo.

Stars imeondoka huku ikiahidi ushindi kwa Watanzania katika mchezo huo wa kusaka kucheza hatua ya makundi ya michuano ya Afrika, itakayofanyika mwakani nchini Morocco.

Awali Stars ilitoka sare ya 2-2 na Msumbiji katika mchezo wake wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani