Stars yaenda Afrika Kusini kusaka makali
Timu ya Taifa, Taifa Stars
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imeondoka jana kuelekea Afrika Kusini kujiandaa na mchezo wake wa marudiano dhidi ya Msumbiji, utakaochezwa Agosti 3 katika Uwanja wa Zimpeto, mjini Maputo.
Stars imeondoka huku ikiahidi ushindi kwa Watanzania katika mchezo huo wa kusaka kucheza hatua ya makundi ya michuano ya Afrika, itakayofanyika mwakani nchini Morocco.
Awali Stars ilitoka sare ya 2-2 na Msumbiji katika mchezo wake wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania30 Nov
Mo Music kusaka video Afrika Kusini
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MSANII Moshi Katemi ‘Mo Music’, amepanga kwenda nchini Afrika Kusini kwa ajili ya upigaji wa picha za video ya wimbo wake mpya wa ‘Skendo’.
Video hiyo inatarajiwa kuandaliwa na mwongozaji mashuhuri nchini, Adam Juma ambaye wamepanga kwenda naye nchini humo kwa ajili ya kazi hiyo.
“Sitaki kuwaangusha mashabiki wangu, nitakwenda Afrika Kusini kufanya video ya Skendo ila nitamtumia Adam Juma kwa sababu ni mwongozaji bora na huwa tunafanya kazi nzuri kila tunapokutana,”...
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Yanga kusaka makali Barcelona
KLABU ya Yanga chini ya Mwenyekiti wake Yusuf Manji, imepanga kuipeleka timu nchini Hispania kujifua kwa raundi ya pili ya Ligi Kuu itakayoanza Januari 22 na Ligi ya Mabingwa Afrika...
10 years ago
Mwananchi18 Jun
Yanga SC kusaka makali Ulaya
9 years ago
Mtanzania21 Nov
Ame Ali kusaka makali Chalenji
NA ZAINAB IDDY
MSHAMBULIAJI wa timu ya Azam FC, Ame Ali ‘Zungu’, amesema ana imani kubwa na michuano ya Kombe la Chalenji yanayofanyika nchini Ethiopia kuanzia leo yatamrudisha kiwango chake.
Ame amejiunga na Azam katika usajili wa msimu huu kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Mtibwa Sugar ya Morogoro, baada ya kuonyesha umahiri wa kufumania nyavu msimu uliopita akiwa amefunga mabao tisa.
Tangu kujiunga kwake na Azam ameonekana kupotea katika ramani ya soka baada ya kukosa nafasi katika...
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
Ndanda yahamia Dar kusaka makali
NDANDA FC ya Mtwara, moja ya timu ngeni katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara, inatarajia kutua jijini Dar es Salaam leo kuanza kambi itakayowapa makali ya kuhimili kishindo cha ligi...
10 years ago
BBCSwahili12 May
Taifa Stars yaelekea Afrika ya Kusini
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Taifa Stars yajifua Afrika Kusini
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zNUCuW4hT0o/Vj9KDTHupzI/AAAAAAAIE5Q/XHUssp5NRlw/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.png)
STARS KUJIPIMA NA U23 YA AFRIKA KUSINI
![](http://1.bp.blogspot.com/-zNUCuW4hT0o/Vj9KDTHupzI/AAAAAAAIE5Q/XHUssp5NRlw/s640/unnamed%2B%25281%2529.png)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-IlPpOZe_HoA/VVHrWOKAmuI/AAAAAAAHW1Q/JcMdGnzMqvM/s72-c/tff_LOGO1.jpg)
TAIFA STARS KWENDA AFRIKA KUSINI KESHO
![](http://1.bp.blogspot.com/-IlPpOZe_HoA/VVHrWOKAmuI/AAAAAAAHW1Q/JcMdGnzMqvM/s400/tff_LOGO1.jpg)
Michuano ya COSAFA inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Mei 17 mpaka Mei 30, 2015 katika viwanja vya Olympia Park na Moruleng jimbo la North West Province nchini Afrika Kusini ikishirikisha nchi za Kusini mwa Afrika huku Tanzania na Ghana zikiwa ni nchi waalikwa.
Taifa Stars itaondoka jijini Dar es salaam kesho majira ya saa 1 jioni, kwa...