STARS KUJIPIMA NA U23 YA AFRIKA KUSINI
![](http://1.bp.blogspot.com/-zNUCuW4hT0o/Vj9KDTHupzI/AAAAAAAIE5Q/XHUssp5NRlw/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.png)
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, kinatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na timu ya Taifa ya Afrika Kusini ya vijana wenye umri chini ya miaka 23 (Amaglug-glug) Jumanne jioni kwenye dimba la Eldorado jijini Johannesburg.Kwa mujibu wa taarifa toka TFF, mchezo huo wa kirafiki ni sehemu ya maandalizi ya kuwakabili Algeria Novemba 14 jijini Dar es salaa katika uwanja wa Taifa na marudiano yake kufanyika Novemba...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo09 Nov
Taifa Stars kucheza na U23
KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kinatarajia kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na timu ya Taifa ya Afrika Kusini ya vijana wenye umri chini ya miaka 23 (Amaglug-glug) kesho kwenye Uwanja wa Eldorado jijini Johannesburg.
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Taifa Stars yajifua Afrika Kusini
10 years ago
BBCSwahili12 May
Taifa Stars yaelekea Afrika ya Kusini
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-IlPpOZe_HoA/VVHrWOKAmuI/AAAAAAAHW1Q/JcMdGnzMqvM/s72-c/tff_LOGO1.jpg)
TAIFA STARS KWENDA AFRIKA KUSINI KESHO
![](http://1.bp.blogspot.com/-IlPpOZe_HoA/VVHrWOKAmuI/AAAAAAAHW1Q/JcMdGnzMqvM/s400/tff_LOGO1.jpg)
Michuano ya COSAFA inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Mei 17 mpaka Mei 30, 2015 katika viwanja vya Olympia Park na Moruleng jimbo la North West Province nchini Afrika Kusini ikishirikisha nchi za Kusini mwa Afrika huku Tanzania na Ghana zikiwa ni nchi waalikwa.
Taifa Stars itaondoka jijini Dar es salaam kesho majira ya saa 1 jioni, kwa...
11 years ago
Mtanzania31 Jul
Stars yaenda Afrika Kusini kusaka makali
![Timu ya Taifa, Taifa Stars](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/taifa-stars.jpg)
Timu ya Taifa, Taifa Stars
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imeondoka jana kuelekea Afrika Kusini kujiandaa na mchezo wake wa marudiano dhidi ya Msumbiji, utakaochezwa Agosti 3 katika Uwanja wa Zimpeto, mjini Maputo.
Stars imeondoka huku ikiahidi ushindi kwa Watanzania katika mchezo huo wa kusaka kucheza hatua ya makundi ya michuano ya Afrika, itakayofanyika mwakani nchini Morocco.
Awali Stars ilitoka sare ya 2-2 na Msumbiji katika mchezo wake wa...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/TAIFA-STAZ-21.jpg)
TAIFA STARS YAENDELEA NA MAZOEZI AFRIKA KUSINI LEO
9 years ago
Mwananchi15 Oct
Taifa Stars kuweka kambi Afrika Kusini kujiandaa na Algeria
9 years ago
Habarileo28 Aug
Stars kujipima na Libya leo
TIMU ya soka ya Taifa, Taifa Stars leo itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Libya mjini Kartepe nchini Uturuki. Mchezo huo wa kirafiki ni sehemu ya ratiba ya Stars ambapo kocha wake Charles Mkwasa na benchi lake la ufundi watautumia kukiangalia kikosi chao.
9 years ago
Habarileo06 Nov
Taifa Stars kujipima Sauzi
KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Jumapili kinatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya University of Pretoria (Tucks FC) jijini Johannesburg ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo dhidi ya Algeria Novemba 14, mwaka huu.