Taifa Stars kuweka kambi Afrika Kusini kujiandaa na Algeria
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itaweka kambi Afrika Kusini kujiandaa na mchezo wa raundi ya pili wa kutafuta tiketi ya kufuzu kushiriki Kombe la Dunia 2018 dhidi ya Algeria, mwezi ujao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo511 Dec
Kayumba wa BSS kuweka kambi Afrika Kusini
![Kayumba akikabidhiwa zawadi kutoka kwa wadhamini wa shindano hilo.](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/Kayumba-akikabidhiwa-zawadi-kutoka-kwa-wadhamini-wa-shindano-hilo.-300x194.jpg)
Mshindi wa shindano la Bongo Star Search (BSS) 2015, Kayumba Juma anasafiri usiku wa Ijumaa hii kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya video ya wimbo wake mpya.
Muimbaji huyo ambaye alijinyakulia kitita cha shilingi milioni 60 baada ya kuibuka mshindi katika kinyang’anyiro hicho kilichokuwa na ushindani mkubwa, atasafiri akiwa pamoja na timu ya BSS ikiongozwa na mkurugenzi wake Madam Rita.
Akizungumza na Bongo5 leo mmoja kati ya viongozi wa msanii huyo, Said Fella, amesema kila...
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Taifa Stars yajifua Afrika Kusini
10 years ago
BBCSwahili12 May
Taifa Stars yaelekea Afrika ya Kusini
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-IlPpOZe_HoA/VVHrWOKAmuI/AAAAAAAHW1Q/JcMdGnzMqvM/s72-c/tff_LOGO1.jpg)
TAIFA STARS KWENDA AFRIKA KUSINI KESHO
![](http://1.bp.blogspot.com/-IlPpOZe_HoA/VVHrWOKAmuI/AAAAAAAHW1Q/JcMdGnzMqvM/s400/tff_LOGO1.jpg)
Michuano ya COSAFA inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Mei 17 mpaka Mei 30, 2015 katika viwanja vya Olympia Park na Moruleng jimbo la North West Province nchini Afrika Kusini ikishirikisha nchi za Kusini mwa Afrika huku Tanzania na Ghana zikiwa ni nchi waalikwa.
Taifa Stars itaondoka jijini Dar es salaam kesho majira ya saa 1 jioni, kwa...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/TAIFA-STAZ-21.jpg)
TAIFA STARS YAENDELEA NA MAZOEZI AFRIKA KUSINI LEO
10 years ago
Raia Tanzania03 Aug
Stars kuweka kambi Uturuki
TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuaondoka nchini Agosti 23 kwenda Uturuki kwa ajili ya kambi ya wiki mbili kujiandaa na mchezo wao wa kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Afrika mwaka (Afcon) 2017 nchini Gabon dhidi ya Nigeria.
Stars inatarajia kucheza mchezo wao wa pili wa kufuzu Afcon dhidi ya Nigeria Septemba 5 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Awali Stars ilicheza na Misri na kufungwa mabao 3-1 ugenini wakiwa chini ya kocha Mholanzi Mart Nooij ambae...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bQw76IDvqZI/U9gEHMRynuI/AAAAAAAF7u0/EvD1Se2ih54/s72-c/Taifa-stars.jpg)
KIKOSI CHA TAIFA STARS KUELEKEA NCHINI AFRIKA KUSINI KESHO
![](http://1.bp.blogspot.com/-bQw76IDvqZI/U9gEHMRynuI/AAAAAAAF7u0/EvD1Se2ih54/s1600/Taifa-stars.jpg)
Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itawasili saa 9 asubuhi kesho (Julai 30 mwaka huu) kwa ndege ya Fastjet kutoka Tukuyu mkoani Mbeya, na baadaye jioni kuunganisha safari ya Afrika Kusini.
Mechi hiyo ya marudiano ya raundi ya...
9 years ago
BBCSwahili21 Aug
Taifa stars kupiga kambi Uturuki
10 years ago
Mwananchi05 Sep
Kambi ya Taifa Stars yaiharibia Azam