Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stars kuweka kambi Uturuki

TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuaondoka nchini Agosti 23 kwenda Uturuki kwa ajili ya kambi ya wiki mbili kujiandaa na mchezo wao wa kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Afrika mwaka (Afcon) 2017 nchini Gabon dhidi ya Nigeria.

Stars inatarajia kucheza mchezo wao wa pili wa kufuzu Afcon dhidi ya Nigeria Septemba 5 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Awali Stars ilicheza na Misri na kufungwa mabao 3-1 ugenini wakiwa chini ya kocha Mholanzi Mart Nooij ambae...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

STARS YAMALIZA KAMBI UTURUKI

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro chini ya Kocha wake Mkuu Charles Boniface Mkwasa imefanya mazoezi yake ya mwisho leo asubuhi katika viwanja vya hoteli ya Green Park Kartepe – Kocaeli nchini Uturuki.Taifa Stars ambayo imeweka kambi nchini Uturuki kwa takribani wiki moja, inajiwinda na mchezo wake dhidi ya Nigeria siku ya Jumamosi Septemba 5, 2015 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuwania kufuzu kwa fainali za Mataifa Afrika mwaka...

 

9 years ago

BBCSwahili

Taifa stars kupiga kambi Uturuki

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itaondoka nchini siku ya jumapili kuelekea Istambul nchini Uturuki

 

9 years ago

Mwananchi

Taifa Stars kuweka kambi Afrika Kusini kujiandaa na Algeria

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itaweka kambi Afrika Kusini kujiandaa na mchezo wa raundi ya pili wa kutafuta tiketi ya kufuzu kushiriki Kombe la Dunia 2018 dhidi ya Algeria, mwezi ujao.

 

11 years ago

GPL

Azam kuweka kambi Hispania

Wachezaji wa timu ya Azam FC wakishangilia bao katika moja ya mechi ya Ligi kuu ya Vodacom. Na Martha Mboma
KATIKA kuhakikisha wanafanya vyema kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara pamoja na michuano ya kimataifa, Klabu ya Azam inatarajia kuweka kambi nchini Hispania ikiwa ni sehemu ya maandalizi.
Azam ambao ni mabingwa watetezi wa ligi kuu, wanatarajia kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwakani. Chanzo cha kuaminika...

 

11 years ago

GPL

Yanga SC yakubali kuweka kambi Chamazi

Na Khadija Mngwai
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umefunguka kuwa upo tayari kuweka kambi Chamazi kufuatia ofa waliyoitoa Azam ya kuwataka wakaweke kambi huko kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri. Inaelezwa kuwa wiki iliyopita uongozi wa Azam FC ulikataa ombi la Al Ahly kuweka kambi kwenye eneo lao hilo pindi watakapokuja nchini kucheza dhidi ya Yanga katika hatua...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania:Azam Fc kuweka Kambi Dr Congo

Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Azam FC wanatarajiwa kuweka kambi nchini Jamhuri ya Kongo (DRC) ili kucheza mechi za kirafiki

 

10 years ago

BBCSwahili

Red Arrow FC kuweka kambi Tanzania

Klabu ya Red Arrow FC inayoshiriki Ligi Kuu nchini Zambiaitaweka kambi ya mafunzo kwa wiki moja kujindaa na Ligi Kuu nchini humo 2015.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchina kuweka kambi ya kijeshi Djibouti

Uchina inapanga kuweka kambi ya kijeshi nchini Djibouti kinyume na matarajio ya Marekani na Ufaransa ambazo tayari zinakambi zao huko

 

9 years ago

Habarileo

Mkwasa atambia kambi Uturuki

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars Charles Mkwasa amesema anaamini kambi ya Uturuki itawapika wachezaji wake vya kutosha kuikabili Nigeria. Stars ipo Uturuki tangu mwishoni mwa wiki iliyopita na itarejea nchini siku chache kabla ya kuivaa Nigeria jijini Dar es Salaam Septemba 5 mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani