Mkwasa atambia kambi Uturuki
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars Charles Mkwasa amesema anaamini kambi ya Uturuki itawapika wachezaji wake vya kutosha kuikabili Nigeria. Stars ipo Uturuki tangu mwishoni mwa wiki iliyopita na itarejea nchini siku chache kabla ya kuivaa Nigeria jijini Dar es Salaam Septemba 5 mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo22 Aug
Mkwasa atangaza wanaokwenda Uturuki
WACHEZAJI 22 wa timu ya Taifa, Taifa Stars, wanatarajia kuondoka nchini kesho usiku kwenda Uturuki kwa kambi ya wiki moja kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria utakaochezwa Septemba 5, 2015.
9 years ago
Michuzi31 Aug
STARS YAMALIZA KAMBI UTURUKI
10 years ago
BBCSwahili29 Jul
Uturuki yashambulia kambi za Wakurdi
10 years ago
Raia Tanzania03 Aug
Stars kuweka kambi Uturuki
TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuaondoka nchini Agosti 23 kwenda Uturuki kwa ajili ya kambi ya wiki mbili kujiandaa na mchezo wao wa kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Afrika mwaka (Afcon) 2017 nchini Gabon dhidi ya Nigeria.
Stars inatarajia kucheza mchezo wao wa pili wa kufuzu Afcon dhidi ya Nigeria Septemba 5 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Awali Stars ilicheza na Misri na kufungwa mabao 3-1 ugenini wakiwa chini ya kocha Mholanzi Mart Nooij ambae...
9 years ago
BBCSwahili05 Oct
Ulaya kufadhili kambi za wahamiaji Uturuki
9 years ago
BBCSwahili21 Aug
Taifa stars kupiga kambi Uturuki
5 years ago
MichuziRC MAKONDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI PAMOJA NA JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI UTURUKI.
************************************Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo February 18 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davulaglu, Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki Prof.Elizabeth Kiondo, Mstahiki Meya kutoka Uturuki, Wawekezaji na Wafanyabiashara zaidi ya 40 kutoka Nchini Uturuki waliokuja Kutazama na kuchangamkia fursa za Uwekezaji wa Viwanda jijini Dar es salaam.Katika Mazungumzo hayo RC Makonda ...
10 years ago
Mtanzania02 Apr
Pluijm atambia ushambuliaji
JUDITH PETER NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR
KOCHA Mkuu wa Yanga Mholanzi, Hans van Der Pluijm, amedai kuwa moto wa mshambuliaji wake, Amissi Tambwe anayeshirikiana vema na mawinga, Mrisho Ngassa na Simon Msuva utamwezesha kuiua FC Platinum ya Zimbabwe ugenini.
Yanga itachuana na Platinum keshokutwa kwenye mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika, utakaofanyika Uwanja wa Mandava, uliopo jijini Zvishavane.
Kikosi cha Yanga kinaondoka nchini kesho kikiwa kifua mbele kutokana na ushindi wa...
9 years ago
Habarileo04 Sep
Julio atambia washambuliaji
KOCHA wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ametamba washambuliaji wake wakiongozwa na Jeryson Tegete watatisha hivyo kila timu ijiandae kupata kipigo.