Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ulaya kufadhili kambi za wahamiaji Uturuki

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, yuko mjini Brussels kwa mazungumzo muhimu na viongozi wa muungano wa bara Ulaya, kuhusu uhamiaji.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Uturuki kuwalinda wahamiaji

Waziri mkuu wa Uturuki Ahmet Davutoglu,amesema nchi yake ina nia ya kuanzisha eneo salama kwa wahamiaji kaskazini mwa Syria.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wahamiaji 13 wamezama Uturuki

Watu 13 wamekufa maji baada ya mtumbwi walimokuwa wakisafiria kugongana na feri Idara ya kulinda fukwe za bahari ya Uturuki imetangaza.

 

9 years ago

Habarileo

Mkwasa atambia kambi Uturuki

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars Charles Mkwasa amesema anaamini kambi ya Uturuki itawapika wachezaji wake vya kutosha kuikabili Nigeria. Stars ipo Uturuki tangu mwishoni mwa wiki iliyopita na itarejea nchini siku chache kabla ya kuivaa Nigeria jijini Dar es Salaam Septemba 5 mwaka huu.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Stars kuweka kambi Uturuki

TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuaondoka nchini Agosti 23 kwenda Uturuki kwa ajili ya kambi ya wiki mbili kujiandaa na mchezo wao wa kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Afrika mwaka (Afcon) 2017 nchini Gabon dhidi ya Nigeria.

Stars inatarajia kucheza mchezo wao wa pili wa kufuzu Afcon dhidi ya Nigeria Septemba 5 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Awali Stars ilicheza na Misri na kufungwa mabao 3-1 ugenini wakiwa chini ya kocha Mholanzi Mart Nooij ambae...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uturuki yashambulia kambi za Wakurdi

Serikali ya Uturuki inasema kuwa ndege za kivita zimetekeleza mashambulizi katika kambi za kundi la Kikurdi PKK Kaskazini mwa Iraq na kusini mashariki wa Uturuki.

 

9 years ago

Michuzi

STARS YAMALIZA KAMBI UTURUKI

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro chini ya Kocha wake Mkuu Charles Boniface Mkwasa imefanya mazoezi yake ya mwisho leo asubuhi katika viwanja vya hoteli ya Green Park Kartepe – Kocaeli nchini Uturuki.Taifa Stars ambayo imeweka kambi nchini Uturuki kwa takribani wiki moja, inajiwinda na mchezo wake dhidi ya Nigeria siku ya Jumamosi Septemba 5, 2015 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuwania kufuzu kwa fainali za Mataifa Afrika mwaka...

 

9 years ago

BBCSwahili

Taifa stars kupiga kambi Uturuki

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itaondoka nchini siku ya jumapili kuelekea Istambul nchini Uturuki

 

9 years ago

BBCSwahili

Wahamiaji 17 wafa maji wakielekea Uturuki

Wahamiaji 17 wamekufa maji baharini muda mfupi baada yao kutoka Uturuki wakielekea Ugiriki.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanne wauawa katika kambi ya Wahamiaji

Watu wanne akiwemo mtoto wa miezi sita na polisi mmoja, wameuawa kwa kupigwa risasi kwenye kambi moja ya wahamiaji nchini faransa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani