Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanne wauawa katika kambi ya Wahamiaji

Watu wanne akiwemo mtoto wa miezi sita na polisi mmoja, wameuawa kwa kupigwa risasi kwenye kambi moja ya wahamiaji nchini faransa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Wakimbizi wauawa katika kambi ya UN

Afisa wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini Toby Lanzer ameiambia BBC kuwa wakimbizi waliuawa katika kambi ya UN iliyoko Bor.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watatu wauawa katika shambulio la kambi ya UN

Watu 3 wamefariki katika shambulio la roketi katika kambi moja ya vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa kaskazini mwa Mali,Umoja wa mataifa umesema.

 

10 years ago

Vijimambo

WATU WANNE WANAOSADIKIWA KUWA MAJAMBAZI WAUAWA KATIKA MAPAMBANO YA KURUSHIANA RISASI NA POLISI

Watu wanne wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wauawa katika mapambano ya kurushiana risasi na polisi wilaya ya Momba. 
Katika tukio hilo watu wanne wanaume wasiofahamika wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliuawa katika majibizano ya kurushiana risasi na Askari Polisi.

Tukio hilo limetokea Agusti 3, 2015 majira ya saa 09.00hrs eneo la Sogea, Kata na Tarafa ya Tunduma Wilaya ya Momba. 
Awali watu hao walivamia dukani kwa Thadeo Sanga (50), mfanyabiashara na wakala wa kuuza/kusambaza bia za TBL ,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ulaya kufadhili kambi za wahamiaji Uturuki

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, yuko mjini Brussels kwa mazungumzo muhimu na viongozi wa muungano wa bara Ulaya, kuhusu uhamiaji.

 

9 years ago

BBCSwahili

11 wauawa kambi ya Wakimbizi,Somalia

Idara za Usalama mjini Mogadishu,Somalia zimeeleza watu 11 wameuawa kutokana na mapigano yaliyozuka katika kambi ya wakimbizi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wanne wauawa Tunisia

Tunisia imesema kuwa polisi wanne wameuawa kwenye shambulizi lilitokea katika mkoa wa Kasserine uliopo karibu na mpaka na Algeria.

 

9 years ago

Habarileo

Wanne wauawa kikatili Bukoba

MAUAJI ya kikatili yameibuka tena wilayani Bukoba mkoani Kagera baada ya watu wasiofahamika kusababisha vifo vya watu wanne waliokatwakatwa mapanga na miili yao kufunikwa kwa majani ya migomba, Polisi imesema.

 

11 years ago

Habarileo

Wanne wauawa wakituhumiwa kuiba

WATU wanne wameuawa na kundi la watu wasiojulikana, wakituhumiwa kuiba ng’ombe katika Kijiji cha Igwambiti Kata ya Buhongwa, jijini hapa. Mtendaji wa Kata ya Buhongwa, Benedict Kabadi alisema alipokea taarifa za kuwepo kwa mauaji hayo jana asubuhi na kwamba alipofika katika eneo la tukio, aliikuta miili ya watu watatu waliouawa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wanamaji wanne wauawa Marekani

Mtu mwenye silaha amewaua askari wanne wa jeshi la maji Marekani katika shambulio lililofanywa kwenye majengo mawili ya jeshi hilo katika mji wa Chattanooga, Tennessee.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani