Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wanne wauawa Tunisia

Tunisia imesema kuwa polisi wanne wameuawa kwenye shambulizi lilitokea katika mkoa wa Kasserine uliopo karibu na mpaka na Algeria.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WATU WANNE WANAOSADIKIWA KUWA MAJAMBAZI WAUAWA KATIKA MAPAMBANO YA KURUSHIANA RISASI NA POLISI

Watu wanne wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wauawa katika mapambano ya kurushiana risasi na polisi wilaya ya Momba. 
Katika tukio hilo watu wanne wanaume wasiofahamika wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliuawa katika majibizano ya kurushiana risasi na Askari Polisi.

Tukio hilo limetokea Agusti 3, 2015 majira ya saa 09.00hrs eneo la Sogea, Kata na Tarafa ya Tunduma Wilaya ya Momba. 
Awali watu hao walivamia dukani kwa Thadeo Sanga (50), mfanyabiashara na wakala wa kuuza/kusambaza bia za TBL ,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watalii wauawa Tunisia

Takriban watalii saba wa kigeni na raia mmoja wa Tunisia wameuawa baada ya wapiganaji kulenga jengo la kumbukumbu Tunisia

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi 7 wauawa Tunisia

Mwanajeshi mmoja nchini Tunisia amempigwa risasi na kuuawa baada ya kuwaua wenzake 7 .

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia 30 wa Uingereza wauawa Tunisia

Raia 30 wa Uingereza ni miongoni mwa watu 39 waliouawa nchini Tunisia katika mji wa kitalii wa Sousse pwani ya Tunisia

 

11 years ago

Habarileo

Wanne wauawa wakituhumiwa kuiba

WATU wanne wameuawa na kundi la watu wasiojulikana, wakituhumiwa kuiba ng’ombe katika Kijiji cha Igwambiti Kata ya Buhongwa, jijini hapa. Mtendaji wa Kata ya Buhongwa, Benedict Kabadi alisema alipokea taarifa za kuwepo kwa mauaji hayo jana asubuhi na kwamba alipofika katika eneo la tukio, aliikuta miili ya watu watatu waliouawa.

 

9 years ago

Habarileo

Wanne wauawa kikatili Bukoba

MAUAJI ya kikatili yameibuka tena wilayani Bukoba mkoani Kagera baada ya watu wasiofahamika kusababisha vifo vya watu wanne waliokatwakatwa mapanga na miili yao kufunikwa kwa majani ya migomba, Polisi imesema.

 

10 years ago

GPL

WANNE WAUAWA MJINI MOMBASA, KENYA

Vijana mjini Mombasa, Kenya. WATU wanne wameuawa kwa kuchomwa visu na vijana waliokuwa na silaha mjini Mombasa Pwani ya Kenya. Watu kadhaa pia walijeruhiwa katika shambulio hilo la usiku wa kuamkia leo kwenye vituo vya basi Kisauni.
Mwandishi wa BBC mjini humo Emmanuel Igunza amesema hali ya wasiwasi imetanda Mombasa huku maafisa wa polisi wakipiga doria mitaani. Walioshuhudia mashambulio hayo wanasema vijana waliokuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wanamaji wanne wauawa Marekani

Mtu mwenye silaha amewaua askari wanne wa jeshi la maji Marekani katika shambulio lililofanywa kwenye majengo mawili ya jeshi hilo katika mji wa Chattanooga, Tennessee.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanne wauawa kwa tuhuma za wizi

WATU wanne wameuawa kwa kupigwa marungu, kuchomwa mikuki na miili yao kuteketezwa kwa moto wilayani Sengerema, Mwanza wakituhumiwa kuwa wezi. Watu hao huku wawili kati yao ni ndugu, waliuawa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani