WANNE WAUAWA MJINI MOMBASA, KENYA
Vijana mjini Mombasa, Kenya. WATU wanne wameuawa kwa kuchomwa visu na vijana waliokuwa na silaha mjini Mombasa Pwani ya Kenya. Watu kadhaa pia walijeruhiwa katika shambulio hilo la usiku wa kuamkia leo kwenye vituo vya basi Kisauni. Mwandishi wa BBC mjini humo Emmanuel Igunza amesema hali ya wasiwasi imetanda Mombasa huku maafisa wa polisi wakipiga doria mitaani. Walioshuhudia mashambulio hayo wanasema vijana waliokuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
Vijana wawaua 4 mjini Mombasa Kenya
11 years ago
BBCSwahili24 Mar
100 wakamatwa mjini Mombasa, Kenya
11 years ago
BBCSwahili21 Jul
Watu wengine 4 wauawa Mombasa
11 years ago
BBCSwahili03 May
Watatu wauawa kwa bomu Mombasa
11 years ago
Habarileo19 Mar
Wanne wauawa wakituhumiwa kuiba
WATU wanne wameuawa na kundi la watu wasiojulikana, wakituhumiwa kuiba ng’ombe katika Kijiji cha Igwambiti Kata ya Buhongwa, jijini hapa. Mtendaji wa Kata ya Buhongwa, Benedict Kabadi alisema alipokea taarifa za kuwepo kwa mauaji hayo jana asubuhi na kwamba alipofika katika eneo la tukio, aliikuta miili ya watu watatu waliouawa.
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Polisi wanne wauawa Tunisia
9 years ago
Habarileo03 Nov
Wanne wauawa kikatili Bukoba
MAUAJI ya kikatili yameibuka tena wilayani Bukoba mkoani Kagera baada ya watu wasiofahamika kusababisha vifo vya watu wanne waliokatwakatwa mapanga na miili yao kufunikwa kwa majani ya migomba, Polisi imesema.
10 years ago
Tanzania Daima31 Oct
Wanne wauawa kwa tuhuma za wizi
WATU wanne wameuawa kwa kupigwa marungu, kuchomwa mikuki na miili yao kuteketezwa kwa moto wilayani Sengerema, Mwanza wakituhumiwa kuwa wezi. Watu hao huku wawili kati yao ni ndugu, waliuawa na...
9 years ago
BBCSwahili26 Aug
Wanne wauawa katika kambi ya Wahamiaji