Wahamiaji 17 wafa maji wakielekea Uturuki
Wahamiaji 17 wamekufa maji baharini muda mfupi baada yao kutoka Uturuki wakielekea Ugiriki.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili30 Oct
Wahamiaji 22 wafa maji wakielekea Ugiriki
Wahamiaji 22, wengi wao watoto, wamekufa maji wakijaribu kufika visiwa vya Kalymnos na Rhodes nchini Ugiriki wakitokea Uturuki.
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Watu 400 wafa maji wakielekea Italia
Kundi la wahamiaji manusura waliokolewa kutoka kwa bahari ya Mediterenia limewasili Italia
10 years ago
BBCSwahili16 Sep
Mamia ya wahamiaji wafa maji
Mamia ya wahamiaji wamekufa maji wakati wakijaribu kuelekea nchini Italia kupitia Bahari ya Meditarian.
10 years ago
BBCSwahili08 Dec
Wahamiaji 70 wafa maji Yemen.
Watu 70 wamekufa baada ya boti iliyokuwa imejaza wahamiaji haramu kupinduka baharini magharibi mwa Yemen.
10 years ago
BBCSwahili03 Nov
Takriban Watu 24 wafa maji Uturuki
Takriban wahamiaji 24 wamekufa maji baada ya Boti waliokua wakisafiria kuzama baharini nchini Uturuki
10 years ago
BBCSwahili16 Apr
Wahamiaji 40 wafa maji pwani ya Italy
Zaidi ya watu 40 wamekufa maji katika pwani ya Sicily nchini Itali
10 years ago
KwanzaJamii16 Sep
ZAIDI YA WAHAMIAJI 200 WAFA MAJI WAKITOKEA LIBYA
Wahamiaji wengi kutoka Libya wameripotiwa kupoteza maisha yao baada ya mashua waliyokuwa wakisafiria kuzamaikielekea upande wa Italia.
Kwa mujibu wa wanajeshi wa majini wa Libya, watu hao walikuwa wakijaribu kuvuka kuelekea Ulaya.
Msemaji wa majeshi ya majini ya Libya, Ayub Qassem amethibitisha watu 36 wameokolewa baada ya mashua yao iliyokuwa imebeba watu 250 ilipozama karibu na eneo la Tajoura, mashariki mwa Tripoli.
Hata hivyo, amefichua ya kwamba maiti nyingi bado zinaelea...
11 years ago
BBCSwahili14 May
Wachimba mgodi 157 wafa Uturuki
Mlipuko katika mgodi wa makaa ya mawe magharibi mwa Uturuki umesababisha vifo vya 157 na kujeruhi wengine 70 .
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-March-2025 in Tanzania