ZAIDI YA WAHAMIAJI 200 WAFA MAJI WAKITOKEA LIBYA
Wahamiaji wengi kutoka Libya wameripotiwa kupoteza maisha yao baada ya mashua waliyokuwa wakisafiria kuzamaikielekea upande wa Italia. Kwa mujibu wa wanajeshi wa majini wa Libya, watu hao walikuwa wakijaribu kuvuka kuelekea Ulaya. Msemaji wa majeshi ya majini ya Libya, Ayub Qassem amethibitisha watu 36 wameokolewa baada ya mashua yao iliyokuwa imebeba watu 250 ilipozama karibu na eneo la Tajoura, mashariki mwa Tripoli. Hata hivyo, amefichua ya kwamba maiti nyingi bado zinaelea...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili15 Sep
Wahamiaji wamekufa maji wakitokea LIbya
9 years ago
BBCSwahili28 Aug
Zaidi ya wahamiaji 200 waangamia Libya
10 years ago
BBCSwahili11 Feb
Wahamiaji 200 wafa bahari ya Mediterani
10 years ago
BBCSwahili16 Sep
Mamia ya wahamiaji wafa maji
10 years ago
BBCSwahili08 Dec
Wahamiaji 70 wafa maji Yemen.
10 years ago
BBCSwahili16 Apr
Wahamiaji 40 wafa maji pwani ya Italy
9 years ago
BBCSwahili30 Oct
Wahamiaji 22 wafa maji wakielekea Ugiriki
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
Wahamiaji 17 wafa maji wakielekea Uturuki