Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu 400 wafa maji wakielekea Italia

Kundi la wahamiaji manusura waliokolewa kutoka kwa bahari ya Mediterenia limewasili Italia

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Wahamiaji 17 wafa maji wakielekea Uturuki

Wahamiaji 17 wamekufa maji baharini muda mfupi baada yao kutoka Uturuki wakielekea Ugiriki.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wahamiaji 22 wafa maji wakielekea Ugiriki

Wahamiaji 22, wengi wao watoto, wamekufa maji wakijaribu kufika visiwa vya Kalymnos na Rhodes nchini Ugiriki wakitokea Uturuki.

 

5 years ago

Michuzi

Italia yavunja tena rekodi, watu 793 wafa siku moja kwa corona, Ulaya yazidi kulemewa na vifo na maambukizi

Kwa mara nyingine tena Italia imevunja rekodi ya watu wengi zaidi waliokufa siku moja kutokana na maambukizi ya kirusi hatari cha corona kiasi kwamba katika kipindi cha masaa 24, watu 793 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa COVID-19 nchini humo.

Shirika la ha habari la Tasnim limelinukuu shirika la habari la AFP likitangaza habari hiyo na kuongeza kuwa, Wakala wa Kuwalinda Raia wa Italia ulisema jana kuwa, idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na kirusi cha corona nchini humo ilikuwa ni 793...

 

10 years ago

BBCSwahili

Takriban Watu 24 wafa maji Uturuki

Takriban wahamiaji 24 wamekufa maji baada ya Boti waliokua wakisafiria kuzama baharini nchini Uturuki

 

5 years ago

BBCSwahili

Watu 40 wafa maji katika mafuriko DRC

Nyumba 5,500 zimesombwa na maji ya mafuriko hayo yaliyowaathiri watu 77,790.

 

5 years ago

Michuzi

NG'OMBE 1,400 WALIOAMRIWA NA MAHAKAMA KURUDISHIWA WAFUGAJI SIMIYU WAFA NDANI YA PORI LA AKIBA LA MASWA

ZAIDI  ya ng’ombe 1, 400 wa wafugaji wa Wilaya za Itilima na Meatu mkoani Simiyu wamekufa mikononi mwa Maafisa wa Pori la Akiba la Maswa baada ya kushikiliwa  hifadhini  kwa kipindi cha miaka mitatu bila kupatiwa  huduma muhimu za chanjo, dawa, maji na malisho licha ya Mahakama kutoa hukumu kwa wamiliki kurejeshewa mifugo yao.Wafugaji hao wamesema tangu mwaka 2017 ng’ombe 1, 484 walikamatwa kwa madai kuwa walikuwa ndani ya pori hilo na kwamba licha Mahakama kuamuru warudishiwe ng’ombe wao...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wahamiaji 70 wafa maji Yemen.

Watu 70 wamekufa baada ya boti iliyokuwa imejaza wahamiaji haramu kupinduka baharini magharibi mwa Yemen.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wawili wafa maji Dar

MWANAFUNZI wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari Galanos, mkoani Tanga, Abdulrazaki Mziray (19), amekufa maji wakati akiogelea. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alisema tukio hilo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani