Italia yavunja tena rekodi, watu 793 wafa siku moja kwa corona, Ulaya yazidi kulemewa na vifo na maambukizi
Kwa mara nyingine tena Italia imevunja rekodi ya watu wengi zaidi waliokufa siku moja kutokana na maambukizi ya kirusi hatari cha corona kiasi kwamba katika kipindi cha masaa 24, watu 793 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa COVID-19 nchini humo.
Shirika la ha habari la Tasnim limelinukuu shirika la habari la AFP likitangaza habari hiyo na kuongeza kuwa, Wakala wa Kuwalinda Raia wa Italia ulisema jana kuwa, idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na kirusi cha corona nchini humo ilikuwa ni 793...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili02 May
Virusi vya corona: Watu 24 wapatikana na maambukizi ya corona kwa siku moja Kenya
5 years ago
BBCSwahili26 Mar
Coronavirus: Zaidi ya maambukizi 10,000 kwa siku moja Marekani wakati Uhispania ikiongoza kwa maambukizi ya corona
5 years ago
BBCSwahili11 Apr
Virusi vya Corona: Vifo vyazidi 2,000 kwa siku moja Marekani
5 years ago
CCM BlogWATU 627 WAFARIKI KWA SIKU MOJA NCHINI ITALY KUTOKANA NA CORONA, SASA YATUMIA WANAJESHI KUZUIA WATU KUTOKA MAJUMBANI
ITALIA imeamua kuwatumia wanajeshi ili kuongeza nguvu ya kuzuia watu kutoka nje, Jana, Ijumaa Machi 20, 2020, huku maafisa wakisema watu 627 wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Corona katika kipindi cha saa 24.
Idadi hii ya vifo ndiyo kubwa zaidi kutokea ndani ya siku moja duniani tangu mlipuko wa ugonjwa huu utokee nchuni China.
Kupoteza matumaini kwa baadhi ya watu kumeanza kuonekana Kaskazini mwa nchi hiyo hususan kwenye jimbo lililloathirika zaidi la Lombardy ambako kwa...
5 years ago
BBCSwahili12 Apr
Virusi vya Corona: Marekani yaipiku Italia kwa idadi ya vifo duniani
5 years ago
BBCSwahili24 Feb
Albamu ya Justin Bieber ya 'Changes' yavunja rekodi kuwa namba moja
5 years ago
BBCSwahili07 May
Vifo vya corona: Kwanini Uingereza imerekodi vifo vingi vya corona Ulaya?
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Watu 400 wafa maji wakielekea Italia
5 years ago
BBCSwahili27 Mar
Coronavirus: Marekani yaipiku Italia na China katika kesi za maambukizi ya corona duniani