NG'OMBE 1,400 WALIOAMRIWA NA MAHAKAMA KURUDISHIWA WAFUGAJI SIMIYU WAFA NDANI YA PORI LA AKIBA LA MASWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-yX2dlQkxsNQ/Xkupu075QPI/AAAAAAAAfvI/AaJ46wEkAuciVctB80W0EpeP1LFW7FWYwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_8205.jpeg)
ZAIDI ya ng’ombe 1, 400 wa wafugaji wa Wilaya za Itilima na Meatu mkoani Simiyu wamekufa mikononi mwa Maafisa wa Pori la Akiba la Maswa baada ya kushikiliwa hifadhini kwa kipindi cha miaka mitatu bila kupatiwa huduma muhimu za chanjo, dawa, maji na malisho licha ya Mahakama kutoa hukumu kwa wamiliki kurejeshewa mifugo yao.Wafugaji hao wamesema tangu mwaka 2017 ng’ombe 1, 484 walikamatwa kwa madai kuwa walikuwa ndani ya pori hilo na kwamba licha Mahakama kuamuru warudishiwe ng’ombe wao...
Michuzi