Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uturuki yashambulia kambi za Wakurdi

Serikali ya Uturuki inasema kuwa ndege za kivita zimetekeleza mashambulizi katika kambi za kundi la Kikurdi PKK Kaskazini mwa Iraq na kusini mashariki wa Uturuki.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Wakurdi wadai kushambuliwa na Uturuki

Kikosi cha wapiganaji wa Kikurdi kaskazini mwa Syria kimeishtumu Uturuki kwa kuwashambulia wanajeshi wake mara kwa mara Karibu na mpaka.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uturuki yakana mauaji ya Wakurdi

Serikali ya Uturuki imekanusha madai ya vyama vya wa kurdi kuwa ilihusika katika milipuko hapo jana iliyosababisha vifo vya watu 95

 

10 years ago

BBCSwahili

IS yashambulia kivuko cha Uturuki

Wanamgambo wa Islamic State wamejaribu kukishambulia kivuko cha mpaka na Uturuki lakini wakashinda kukidhibiti.

 

9 years ago

BBCSwahili

Al Shabaab yashambulia kambi ya AMISOM

Kundi la wapiganaji wa Kiislamu Al Shabaab limeshambulia kambi ya walinda usalama wa muungano wa Afrika AMISOM nchini Somalia

 

9 years ago

Habarileo

Mkwasa atambia kambi Uturuki

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars Charles Mkwasa amesema anaamini kambi ya Uturuki itawapika wachezaji wake vya kutosha kuikabili Nigeria. Stars ipo Uturuki tangu mwishoni mwa wiki iliyopita na itarejea nchini siku chache kabla ya kuivaa Nigeria jijini Dar es Salaam Septemba 5 mwaka huu.

 

9 years ago

Michuzi

STARS YAMALIZA KAMBI UTURUKI

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro chini ya Kocha wake Mkuu Charles Boniface Mkwasa imefanya mazoezi yake ya mwisho leo asubuhi katika viwanja vya hoteli ya Green Park Kartepe – Kocaeli nchini Uturuki.Taifa Stars ambayo imeweka kambi nchini Uturuki kwa takribani wiki moja, inajiwinda na mchezo wake dhidi ya Nigeria siku ya Jumamosi Septemba 5, 2015 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuwania kufuzu kwa fainali za Mataifa Afrika mwaka...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Stars kuweka kambi Uturuki

TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuaondoka nchini Agosti 23 kwenda Uturuki kwa ajili ya kambi ya wiki mbili kujiandaa na mchezo wao wa kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Afrika mwaka (Afcon) 2017 nchini Gabon dhidi ya Nigeria.

Stars inatarajia kucheza mchezo wao wa pili wa kufuzu Afcon dhidi ya Nigeria Septemba 5 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Awali Stars ilicheza na Misri na kufungwa mabao 3-1 ugenini wakiwa chini ya kocha Mholanzi Mart Nooij ambae...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ulaya kufadhili kambi za wahamiaji Uturuki

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, yuko mjini Brussels kwa mazungumzo muhimu na viongozi wa muungano wa bara Ulaya, kuhusu uhamiaji.

 

9 years ago

BBCSwahili

Taifa stars kupiga kambi Uturuki

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itaondoka nchini siku ya jumapili kuelekea Istambul nchini Uturuki

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani