STARS YAMALIZA KAMBI UTURUKI
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro chini ya Kocha wake Mkuu Charles Boniface Mkwasa imefanya mazoezi yake ya mwisho leo asubuhi katika viwanja vya hoteli ya Green Park Kartepe – Kocaeli nchini Uturuki.Taifa Stars ambayo imeweka kambi nchini Uturuki kwa takribani wiki moja, inajiwinda na mchezo wake dhidi ya Nigeria siku ya Jumamosi Septemba 5, 2015 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuwania kufuzu kwa fainali za Mataifa Afrika mwaka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania03 Aug
Stars kuweka kambi Uturuki
TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuaondoka nchini Agosti 23 kwenda Uturuki kwa ajili ya kambi ya wiki mbili kujiandaa na mchezo wao wa kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Afrika mwaka (Afcon) 2017 nchini Gabon dhidi ya Nigeria.
Stars inatarajia kucheza mchezo wao wa pili wa kufuzu Afcon dhidi ya Nigeria Septemba 5 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Awali Stars ilicheza na Misri na kufungwa mabao 3-1 ugenini wakiwa chini ya kocha Mholanzi Mart Nooij ambae...
9 years ago
BBCSwahili21 Aug
Taifa stars kupiga kambi Uturuki
9 years ago
Habarileo27 Aug
Mkwasa atambia kambi Uturuki
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars Charles Mkwasa amesema anaamini kambi ya Uturuki itawapika wachezaji wake vya kutosha kuikabili Nigeria. Stars ipo Uturuki tangu mwishoni mwa wiki iliyopita na itarejea nchini siku chache kabla ya kuivaa Nigeria jijini Dar es Salaam Septemba 5 mwaka huu.
10 years ago
BBCSwahili29 Jul
Uturuki yashambulia kambi za Wakurdi
9 years ago
BBCSwahili05 Oct
Ulaya kufadhili kambi za wahamiaji Uturuki
9 years ago
Habarileo24 Aug
Taifa Stars waenda Uturuki
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, ilitarajia kuondoka leo alfajiri kwenda Uturuki kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria, Super Eagles, katika mchezo wa Kundi G wa kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2017.
9 years ago
Mwananchi14 Aug
Wadau wakosoa kambi ya Stars
9 years ago
Habarileo26 Aug
Stars kucheza na Libya keshokutwa Uturuki
TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro ambayo iliwasili juzi nchini Uturuki, imeendelea na mazoezi jana asubuhi katika viwanja viliyopo kwenye Hoteli ya Green Park – Kartepe.
10 years ago
Mwananchi05 Sep
Kambi ya Taifa Stars yaiharibia Azam