Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stars kucheza na Libya keshokutwa Uturuki

TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro ambayo iliwasili juzi nchini Uturuki, imeendelea na mazoezi jana asubuhi katika viwanja viliyopo kwenye Hoteli ya Green Park – Kartepe.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SHEPOLOPPOLO KUTUA NCHINI KESHO TAYARI KUIKABILI TWIGA STARS KESHOKUTWA

Timu ya Taifa ya Zambia (Shepolopolo) inatua nchini kesho mchana (Februari 27 mwaka huu) kwa ajili ya mechi ya marudiano ya michuano ya Afrika kwa Wanawake (AWC) dhidi ya Tanzania (Twiga Stars) itakayochezwa keshokutwa (Februari 28 mwaka huu). Shepolopolo yenye msafara wa watu 29 itawasili kwa ndege ya Fastjet ikitokea Lusaka na itafikia kwenye hoteli ya Accomondia kwa ajili ya mechi hiyo itakayochezwa Uwanja wa Azam Complex ulioko Chamazi kuanzia saa 10 kamili jioni. Waamuzi wa mechi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Shirika la ndege la Uturuki lafunga virago Libya

Shirika la la ndege la Uturuki ambalo ndilo liliokuwa peke yake likiendesha shughuli zake nchini Libya, limesimamisha safari zake zote kuingia nchini humo kutokana na hali mbaya ya usalama.

 

11 years ago

Mwananchi

Stars ilistahili kucheza fainali

Cecafa imedai kwamba Kilimanjaro Stars ilistahili kucheza fainali za michuano ya Chalenji kutokana na ubora wake na si kuwania nafasi ya tatu.

 

10 years ago

Vijimambo

STARS UNITED KUCHEZA NA VITAMBI FC MAY 30

Stars UnitedVitambi FC
Timu ya Stars United itacheza mechi ya kujipima nguvu na Vitambi FC siku ya Jumamosi May 30, 2015 katika uwanja wa Heurich anuani ni 6001 Ager Road, Hyattsville, MD 20781. Mechi ni ya maandalizi ya Vijimambo Soccer Tournament itakayofanyika Labor Day Weekend.
Stars United inatarajiwa kuelekea Atlanta, Georgia June 27, 2015 kucheza na Eritrea katika mchezo wa kirafiki wa maandalizi ya ligi ndogo itakayofanyika DMV.
Mechi ya Vitambi FC itachezwa saa 9 kamili alasili siku...

 

11 years ago

Mwananchi

Twiga Stars kucheza Chamazi

Mechi ya pili ya raundi ya kwanza kuwania tiketi ya kufuzu kushiriki Fainali za Afrika kwa Wanawake (AWC) katika ya Twiga Stars dhidi ya Zambia ‘Shepolopolo’ itachezwa Machi 2 mwaka huu kwenye

 

9 years ago

Habarileo

Taifa Stars kucheza na U23

KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kinatarajia kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na timu ya Taifa ya Afrika Kusini ya vijana wenye umri chini ya miaka 23 (Amaglug-glug) kesho kwenye Uwanja wa Eldorado jijini Johannesburg.

 

10 years ago

GPL

Coutinho aomba kucheza Taifa Stars

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho. Na Mohammed Mdose
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho, amesema yupo tayari kuichezea timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, iwapo Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) litamtaka afanye hivyo. Sheria za Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) zinaruhusu raia wa nchi fulani kuichezea timu ya taifa ya nchi nyingine, akipata uraia wa nchi hiyo na iwapo...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Stars kuweka kambi Uturuki

TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuaondoka nchini Agosti 23 kwenda Uturuki kwa ajili ya kambi ya wiki mbili kujiandaa na mchezo wao wa kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Afrika mwaka (Afcon) 2017 nchini Gabon dhidi ya Nigeria.

Stars inatarajia kucheza mchezo wao wa pili wa kufuzu Afcon dhidi ya Nigeria Septemba 5 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Awali Stars ilicheza na Misri na kufungwa mabao 3-1 ugenini wakiwa chini ya kocha Mholanzi Mart Nooij ambae...

 

10 years ago

Michuzi

STARS YAMALIZA KAMBI UTURUKI

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro chini ya Kocha wake Mkuu Charles Boniface Mkwasa imefanya mazoezi yake ya mwisho leo asubuhi katika viwanja vya hoteli ya Green Park Kartepe – Kocaeli nchini Uturuki.Taifa Stars ambayo imeweka kambi nchini Uturuki kwa takribani wiki moja, inajiwinda na mchezo wake dhidi ya Nigeria siku ya Jumamosi Septemba 5, 2015 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuwania kufuzu kwa fainali za Mataifa Afrika mwaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani