Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shirika la ndege la Uturuki lafunga virago Libya

Shirika la la ndege la Uturuki ambalo ndilo liliokuwa peke yake likiendesha shughuli zake nchini Libya, limesimamisha safari zake zote kuingia nchini humo kutokana na hali mbaya ya usalama.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA MADINI LA TAIFA (STAMICO) LAFUNGA UPOKEAJI WA MAOMBI YA NIA (EXPRESSION OF INTEREST)

Ndunguru-3SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) leo linafunga upokeaji wa maombi ya nia (expression of interest) ya makampuni yanayotaka kuingia ubia na STAMICO katika uendelezaji wa mradi uchimbaji makaa ya mawe na ufuaji umeme huko Kiwira.STAMICO ilitangaza mwezi uliopita kukaribisha maombi hayo yatakayowezesha ubia huo kupata fedha za kughramia mradi kwa asilimia 100 na kushiriki kuendesha mradi huo. 
Makampuni yenye nia ya kuwekeza kwa ubia na STAMICO yalitakiwa kuwasilisha maelezo ya...

 

10 years ago

Vijimambo

NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK

Ndege ya shirika la ndege la Delta leo AlhamisI March 5, 2015 imepata ajali ya kuteleza kwenye theluji ilipokua ikitua kwenye uwanja wa ndege wa LaGuardia wa New York, ndege hiyo iliyokua ikitokea Atlanta iliacha njia na kugonga uzio wa seng'enge ya waya kama inavyoonekana kwenye picha na msemaji wa zima moto ameripoti hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo isipokua baadhi ya ya abiria wamepata majeraha ya kawaida na walikimbizwa hospitali kwa matibabu na kwa sasa uwanja huo umefungwa kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria yapotea katika rada, yaanguka na abiria 116

Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria (Air Algerie) iliyopoteza mawasiliano ya Rada katika anga la Mali mapema leo ikiwa na abiria 116 na watumishi sita imeanguka, Shirika la Habari la Reuters linaripoti.

 

9 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LAZINDUA MFUMO MPYA WA KISASA WA USIMAMIZI WA MIZIGO KWENYE VIWANJA VYA NDEGE

SHIRIKA la ndege la Etihad ambalo ndio shirika rasmi la nchi ya Falme za kiarabu, leo hii limetangaza makubaliano na kampuni ya Luggage Logistics kuboresha mfumo mzima wa usimamizi wa mizigo katika viwanja vake vya ndege dunia nzima.

Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI AZINDUA SAFARI ZA NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LA NCHINI ABU DHABI LEO MCHANA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA MWL. JULIUS NYERERE (JNIA)

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt Shaaban Mwinjaka, akiteta jambo na Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu(United Arab Emirate) nchini Tanzania, Balozi Abdullah Ibrahim Al Suwaidi, kabla ya Uzinduzi wa Safari za Ndege ya Shirika la Ndege la Etihad la Nchini Abu Dhabi, leo mchana. Magari ya Zimamoto yakimwaga maji kuashiria uzinduzi na ukaribisho wa Safari za Ndege ya Shirika la Ndege la Etihad la Nchini Abu Dhabi, leo mchana katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Mwl. Julius Nyerere...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shirika la ndege la ETIHAD lazindua mfumo mpya wa kisasa wa usimamizi wa mizigo kwenye viwanja vyake vya ndege

Etihad-Airways-Boeing-787-set-to-fly-to-five-further-destinations-in-2016

Shirika la ndege la Etihad ambalo ndio shirika rasmi la nchi ya Falme za kiarabu, leo hii limetangaza makubaliano na kampuni ya Luggage Logistics kuboresha mfumo mzima wa usimamizi wa mizigo katika viwanja vake vya ndege dunia nzima.

 Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shirika la ndege la ETIHAD laendelea kukuza wigo wake Afrika Mashariki baada ya kuzindua huduma za safari za ndege kati ya Dar Es Salaam na Abu Dhabi

CAMPIX PRODUCTION

Ndege iliyozinduliwa na Shirika la Ndege la Etihad ilipowasili katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam na kupokelewa na magari ya zimamoto kwa kumwaga maji kuashiria uzinduzi rasmi wa Safari za ndege za shirika la ndege la Etihad lenye makao makuu Abudhabi. Uzinduzi huo unatoa fursa sasa kwa watanzania kusafiri moja kwa moja kutoka Dar es salaam mpaka Abudhabi kila siku.

UAE Ambassador to Tanzania Abdullah Ibrahim Al Suwaidi (R) welcomes Etihad Airways’ Senior Vice President - Global Sales, Daniel Barranger (L) upon the arrival of Etihad Airways’ inaugural flight to Tanzania at Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam on Tuesday December 1, 2015. PHOTO | FARAJA JUBE

Makamu wa Rais- Mauzo ya Kimataifa wa shirika la ndege la Etihad Bw. Daniel Barranger akisalimiana...

 

9 years ago

Habarileo

Stars kucheza na Libya keshokutwa Uturuki

TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro ambayo iliwasili juzi nchini Uturuki, imeendelea na mazoezi jana asubuhi katika viwanja viliyopo kwenye Hoteli ya Green Park – Kartepe.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uturuki yajuta kuidungua ndege ya Urusi

Rais wa Uturuki ameonyesha kujuta kwamba Uturuki iliidungua ndege ya kijeshi ya Urusi karibu na mpaka wa taifa hilo na Syria,lakini hakuomba msamaha kwa tukio hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani