Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uturuki yajuta kuidungua ndege ya Urusi

Rais wa Uturuki ameonyesha kujuta kwamba Uturuki iliidungua ndege ya kijeshi ya Urusi karibu na mpaka wa taifa hilo na Syria,lakini hakuomba msamaha kwa tukio hilo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Putin:Uturuki itajuta kuidungua ndege yetu

Vladimir Putin ameitahadharisha Uturuki kuwa itajuta kwa kuidungua ndege ya Urusi aina ya Su-24 katika anga ya Syria.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uturuki yasema ilizuia ndege ya Urusi

Uturuki imesema ilitumia ndege za kijeshi aina ya F-16 kuzuia ndege ya kijeshi ya Urusi kupaa anga yake bila idhini Jumamosi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Urusi yakatiza Uhusiano na Uturuki

Waziri mkuu wa Urusi,Dmitriy Medvedev, amesema mikataba yote na UJturuki imesimamishwa na mbali na kutangaza marufuku ya kampuni za Uturuki nchini Urusi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uturuki kurejesha mwili wa rubani wa Urusi

Uturuki imesema itakabidhi Urusi mwili wa rubani wa ndege iliyodunguliwa juma lililopita katika mpaka wake na Syria luteni Oleg Peshkov

 

9 years ago

Mtanzania

Urusi yafungiwa kusajili wachezaji wa Uturuki

071214-13-SOCCER-Vitaly-Mutko-OB-PI.vadapt.620.high.94MOSCOW, URUSI

KLABU za nchini Urusi zimefungiwa kufanya usajili kwa wachezaji wa nchini Uturuki kuanzia Januari mwakani kutokana na migogoro ya kisiasa.

Nchi hizi mbili zimekuwa na migogoro ya kisiasa, ambapo wiki iliyopita ndege ya kivita ya nchini Urusi ililipuliwa na jeshi la nchini Uturuki kwenye mpaka wa Syria, Novemba 24 mwaka huu na kuua rubani mmoja huku mwingine akiwa salama.

Waziri wa Michezo nchini Urusi, Vitaly Mutko, aliliambia gazeti la R-Sport new la nchini humo kwamba, hakuna...

 

9 years ago

BBCSwahili

Urusi imeiwekea Uturuki vikwazo vya kiuchumi

Urusi imetangaza vikwazo vipya vya kiuchumi dhidi ya Uturuki kutokana na kudunguliwa kwa ndege yake mnamo Jumanne.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uturuki yasema iko tayari kufanya kazi na Urusi

Waziri mkuu wa Uturuki Ahmet Davutoglu amesema kuwa Ankara itafanya kazi na Urusi pamoja na washirika wake ili kuzima wasiwasi baada ya Uturuki kuidungua ndege ya Urusi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Misa ya wahanga wa ajali ya ndege ya Urusi

Ibada ya wafu ya kuwakumbuka watu 224 waliofariki katika ajali ya ndege ya Urusi katika rasi ya Sinai nchini ya Misri juma lililopita, inaendelea katika mji wa St Petersburg Urusi

 

9 years ago

BBCSwahili

Ndege za Misri zapigwa marufuku Urusi

Mamlaka ya safari za ndege nchini Urusi imepiga marufuku ndege za shirika la taifa la ndege la Misri kuhudumu Urusi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani