Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uturuki yasema ilizuia ndege ya Urusi

Uturuki imesema ilitumia ndege za kijeshi aina ya F-16 kuzuia ndege ya kijeshi ya Urusi kupaa anga yake bila idhini Jumamosi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Uturuki yasema iko tayari kufanya kazi na Urusi

Waziri mkuu wa Uturuki Ahmet Davutoglu amesema kuwa Ankara itafanya kazi na Urusi pamoja na washirika wake ili kuzima wasiwasi baada ya Uturuki kuidungua ndege ya Urusi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uturuki yajuta kuidungua ndege ya Urusi

Rais wa Uturuki ameonyesha kujuta kwamba Uturuki iliidungua ndege ya kijeshi ya Urusi karibu na mpaka wa taifa hilo na Syria,lakini hakuomba msamaha kwa tukio hilo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Urusi yasema huenda ikashambulia IS

Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema taifa hilo linaweza likashambulia wapiganaji wa Islamic State iwapo hilo litaidhinishwa na Umoja wa Mataifa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Urusi yasema Erdogan ananunua mafuta ya IS

Wizara ya ulinzi ya Urusi imeituhumu familia ya Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan kwa kuhusika katika biashara ya mafuta na kundi la Islamic State.

 

5 years ago

BBCSwahili

Marekani yasema Urusi inawafadhili mamluki Libya

Jeshi la Marekani limeishutumu Urusi kwa kutuma ndege za kijeshi nchini Libya kuunga mkono mamluki wa Urusi nchini humo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi yasema yapigwa vita vya maneno

Urusi yalalamika kuwa mataifa ya Magharibi yaishambulia kwa maneno

 

9 years ago

BBCSwahili

Urusi yakatiza Uhusiano na Uturuki

Waziri mkuu wa Urusi,Dmitriy Medvedev, amesema mikataba yote na UJturuki imesimamishwa na mbali na kutangaza marufuku ya kampuni za Uturuki nchini Urusi.

 

9 years ago

Mtanzania

Urusi yafungiwa kusajili wachezaji wa Uturuki

071214-13-SOCCER-Vitaly-Mutko-OB-PI.vadapt.620.high.94MOSCOW, URUSI

KLABU za nchini Urusi zimefungiwa kufanya usajili kwa wachezaji wa nchini Uturuki kuanzia Januari mwakani kutokana na migogoro ya kisiasa.

Nchi hizi mbili zimekuwa na migogoro ya kisiasa, ambapo wiki iliyopita ndege ya kivita ya nchini Urusi ililipuliwa na jeshi la nchini Uturuki kwenye mpaka wa Syria, Novemba 24 mwaka huu na kuua rubani mmoja huku mwingine akiwa salama.

Waziri wa Michezo nchini Urusi, Vitaly Mutko, aliliambia gazeti la R-Sport new la nchini humo kwamba, hakuna...

 

9 years ago

BBCSwahili

Uturuki kurejesha mwili wa rubani wa Urusi

Uturuki imesema itakabidhi Urusi mwili wa rubani wa ndege iliyodunguliwa juma lililopita katika mpaka wake na Syria luteni Oleg Peshkov

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani