Urusi yasema Erdogan ananunua mafuta ya IS
Wizara ya ulinzi ya Urusi imeituhumu familia ya Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan kwa kuhusika katika biashara ya mafuta na kundi la Islamic State.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili29 Sep
Urusi yasema huenda ikashambulia IS
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema taifa hilo linaweza likashambulia wapiganaji wa Islamic State iwapo hilo litaidhinishwa na Umoja wa Mataifa.
9 years ago
BBCSwahili05 Oct
Uturuki yasema ilizuia ndege ya Urusi
Uturuki imesema ilitumia ndege za kijeshi aina ya F-16 kuzuia ndege ya kijeshi ya Urusi kupaa anga yake bila idhini Jumamosi.
11 years ago
BBCSwahili19 Jul
Urusi yasema yapigwa vita vya maneno
Urusi yalalamika kuwa mataifa ya Magharibi yaishambulia kwa maneno
5 years ago
BBCSwahili27 May
Marekani yasema Urusi inawafadhili mamluki Libya
Jeshi la Marekani limeishutumu Urusi kwa kutuma ndege za kijeshi nchini Libya kuunga mkono mamluki wa Urusi nchini humo.
9 years ago
BBCSwahili27 Nov
Uturuki yasema iko tayari kufanya kazi na Urusi
Waziri mkuu wa Uturuki Ahmet Davutoglu amesema kuwa Ankara itafanya kazi na Urusi pamoja na washirika wake ili kuzima wasiwasi baada ya Uturuki kuidungua ndege ya Urusi.
10 years ago
BBCSwahili28 Aug
Tayyip Erdogan kuapishwa
Rais mteule wa Uturuki Tayyip Erdogan,anakaribia kuapishwa kufuatia ushindi wa kishindo alioupata katika historia ya nchi hiyo.
10 years ago
BBCSwahili08 Jun
Erdogan ataka kuwepo utulivu Uturuki
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, ametoa wito kwa vyama vyote kuhakikisha kuwa kuna utulivu kote nchini humo.
10 years ago
Mwananchi03 Sep
Uturuki: Ni kweli Erdogan ni Ataturk mpya?
Katika miaka ya 60, Uturuki (ambayo asilimia tatu ya ardhi yake iko barani Ulaya na iliyobakia barani Asia) ilipewa jina la, ‘Mgonjwa wa Ulaya’.
11 years ago
BBCSwahili31 Mar
''AKP imeshinda kura Uturuki'' Erdogan
Waziri mkuu wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ametangaza kuwa chama chake cha AKP kimeshinda uchaguzi wa mabaraza .
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania