Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Urusi yafungiwa kusajili wachezaji wa Uturuki

071214-13-SOCCER-Vitaly-Mutko-OB-PI.vadapt.620.high.94MOSCOW, URUSI

KLABU za nchini Urusi zimefungiwa kufanya usajili kwa wachezaji wa nchini Uturuki kuanzia Januari mwakani kutokana na migogoro ya kisiasa.

Nchi hizi mbili zimekuwa na migogoro ya kisiasa, ambapo wiki iliyopita ndege ya kivita ya nchini Urusi ililipuliwa na jeshi la nchini Uturuki kwenye mpaka wa Syria, Novemba 24 mwaka huu na kuua rubani mmoja huku mwingine akiwa salama.

Waziri wa Michezo nchini Urusi, Vitaly Mutko, aliliambia gazeti la R-Sport new la nchini humo kwamba, hakuna...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Barcelona yafungiwa kusajili mpaka 2016

Shirikisho la soka duniani FIFA limeitupilia mbali rufaa ya klabu ya Barcelona usajili kwa kukiuka kanuni za usajili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Simba kusajili wachezaji kuziba pengo

Katika kile kinachoonekana ni kuweka mikakati ili kuchukua ubingwa msimu ujao, wekundu wa Msimbazi.

 

11 years ago

Michuzi

JKT Ruvu yaingia mtaani kusajili kwa vipaji vya wachezaji

Timu ya JKT Ruvu leo itaanza mchakato wa kutafuta wachezaji wapya kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwenye uwanja wa JKT Mlalakuwa jijini.
Zoezi la kusaka wachezaji hao ni la wazi na meneja wa timu hiyo, Joel Frank amewataka wachezaji wote wenye nia ya kucheza ligi kuu msimu ujao kufika kwa wingi katika uwanja huo kuanzia saa 1.30 asubuhi.
Frank alisema kuwa wameamua kutafuta wachezaji kwa mtindo huo kwa lengo la kuona uwezo wao halisi na wala si kwa kukisia kama...

 

9 years ago

BBCSwahili

Urusi yakatiza Uhusiano na Uturuki

Waziri mkuu wa Urusi,Dmitriy Medvedev, amesema mikataba yote na UJturuki imesimamishwa na mbali na kutangaza marufuku ya kampuni za Uturuki nchini Urusi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uturuki yajuta kuidungua ndege ya Urusi

Rais wa Uturuki ameonyesha kujuta kwamba Uturuki iliidungua ndege ya kijeshi ya Urusi karibu na mpaka wa taifa hilo na Syria,lakini hakuomba msamaha kwa tukio hilo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uturuki yasema ilizuia ndege ya Urusi

Uturuki imesema ilitumia ndege za kijeshi aina ya F-16 kuzuia ndege ya kijeshi ya Urusi kupaa anga yake bila idhini Jumamosi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uturuki kurejesha mwili wa rubani wa Urusi

Uturuki imesema itakabidhi Urusi mwili wa rubani wa ndege iliyodunguliwa juma lililopita katika mpaka wake na Syria luteni Oleg Peshkov

 

9 years ago

BBCSwahili

Urusi imeiwekea Uturuki vikwazo vya kiuchumi

Urusi imetangaza vikwazo vipya vya kiuchumi dhidi ya Uturuki kutokana na kudunguliwa kwa ndege yake mnamo Jumanne.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani