JKT Ruvu yaingia mtaani kusajili kwa vipaji vya wachezaji
![](http://1.bp.blogspot.com/-7VHpXk3GVUE/U3ir6jxh-FI/AAAAAAAFjgg/lVjcpSAahY4/s72-c/New+Picture+(7).bmp)
Timu ya JKT Ruvu leo itaanza mchakato wa kutafuta wachezaji wapya kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwenye uwanja wa JKT Mlalakuwa jijini.
Zoezi la kusaka wachezaji hao ni la wazi na meneja wa timu hiyo, Joel Frank amewataka wachezaji wote wenye nia ya kucheza ligi kuu msimu ujao kufika kwa wingi katika uwanja huo kuanzia saa 1.30 asubuhi.
Frank alisema kuwa wameamua kutafuta wachezaji kwa mtindo huo kwa lengo la kuona uwezo wao halisi na wala si kwa kukisia kama...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI: EAMCEF, JKT Ruvu wadhamiria kutunza Mto Ruvu
MAZINGIRA ni suala mtambuka, kila mtu kwa nafasi yake anatakiwa kuwajibika kuhakikisha dunia inakua mahali salama pa kuishi. Uwajibikaji wetu licha ya kutunza mazingira, naamini utaongeza pia siku za kuishi...
9 years ago
Habarileo18 Aug
Charles atua JKT Ruvu kwa mkopo
MCHEZAJI wa mabingwa wa soka Tanzania Bara yanga, Edward Charles ametua kwa mkopo katika kikosi cha Ruvu JKT kilichopiga kambi mjini Morogoro kuendelea na mazoezi kwenye uwanja wa shule ya sekondari Morogoro.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-oQTCbsSj9bA/U8Uu6mOXpDI/AAAAAAAClcM/S7gkEhjKCnw/s72-c/Crescentius-Jogn-Magori-NSSF-speaking-at-SafeCare-Conference-2013.jpg)
YANGA SC YAINGIA MAKUBALIANO YA KUNUNUA NYUMBA KWA AJILI YA WACHEZAJI WAKE NA NSSF
![](http://2.bp.blogspot.com/-oQTCbsSj9bA/U8Uu6mOXpDI/AAAAAAAClcM/S7gkEhjKCnw/s1600/Crescentius-Jogn-Magori-NSSF-speaking-at-SafeCare-Conference-2013.jpg)
Akizungumza leo katika mkutano maalum na wachezaji hao Mkurugenzi wa uendeshaji NSSF , Crecentius Magori amewaambia wachezaji hao kijana mjanja mjini ni yule ambaye ana miliki nyumba ama ardhi kuliko magari huku akiwahamasisha wachezaji wa Yanga kuchangamkia ununuzi wa nyumba hizo ambazo ziko katika mradi wa makao mapya katika kijiji cha
Dege Kigamboni jijini Dar es...
9 years ago
Mtanzania01 Dec
Urusi yafungiwa kusajili wachezaji wa Uturuki
MOSCOW, URUSI
KLABU za nchini Urusi zimefungiwa kufanya usajili kwa wachezaji wa nchini Uturuki kuanzia Januari mwakani kutokana na migogoro ya kisiasa.
Nchi hizi mbili zimekuwa na migogoro ya kisiasa, ambapo wiki iliyopita ndege ya kivita ya nchini Urusi ililipuliwa na jeshi la nchini Uturuki kwenye mpaka wa Syria, Novemba 24 mwaka huu na kuua rubani mmoja huku mwingine akiwa salama.
Waziri wa Michezo nchini Urusi, Vitaly Mutko, aliliambia gazeti la R-Sport new la nchini humo kwamba, hakuna...
10 years ago
BBCSwahili14 May
Simba kusajili wachezaji kuziba pengo
11 years ago
Habarileo22 May
Vodafone 875 yenye mfumo Adroid yaingia mtaani
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Vodacom, Tanzania, imezindua ofa ya simu ya mkononi aina ya Vodafone 875 yenye mfumo Adroid kuwezesha matumizi zaidi ya intaneti katika jamii. Imesema simu hiyo itauzwa kwa Sh 100, 000.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-qlralvQLbCA/Uwn-FsrthcI/AAAAAAAFPE8/VQACTSdHa2Y/s72-c/IMG_3712.jpg)
Mtanange wa Simba na JKT Ruvu Uwanja wa Taifa hivi sasa: Simba washalala kwa bao 2 - 0
![](http://1.bp.blogspot.com/-qlralvQLbCA/Uwn-FsrthcI/AAAAAAAFPE8/VQACTSdHa2Y/s1600/IMG_3712.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-iRYbrDUfPqk/Uwn-Gn-TwHI/AAAAAAAFPFE/eMIQriaeepY/s1600/IMG_3714.jpg)
Wachezaji wa timu ya JKT Ruvu wakishangilia mara baada ya kuitandika Simba bao la pili.