Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba kusajili wachezaji kuziba pengo

Katika kile kinachoonekana ni kuweka mikakati ili kuchukua ubingwa msimu ujao, wekundu wa Msimbazi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Bongo5

Mchungaji Lwakatare azungumzia kuziba pengo la Sophia Simba

Mchungaji wa kanisa la Assemblies Of God maarufu kama ‘Mlima wa moto’ Dk Getrude Lakwatare, lililopo Mikocheni B, amemshukuru Rais Dk. John Magufuli kwa kumkumbuka na kumteua katika nafasi ya ubunge wa Viti Maalumu.

Mama Lwakatare alitoa shukrani hizo wakati wa Ibada ya Pasaka katika kanisa hilo.

“Tunasherehekea kumbukumbu ya kufufuka kwa mwokozi wetu Yesu ambaye alitufia pale msalabani. Pasaka ya mwaka huu ni yangu, Mungu ameniona. “Nina furaha ya mwili na roho kwa sababu Yesu amefufuka...

 

9 years ago

Mwananchi

Wahitimu ITA kuziba pengo TRA

Kati ya wahitimu 146 wa kozi za kodi za forodha na za ndani kutoka Chuo cha Usimamizi wa Kodi nchini (ITA), wataziba nafasi ya watumishi 36 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) waliosimamishwa kazi na Rais John Magufuli.

 

10 years ago

GPL

MBRAZIL EMERSON KUZIBA PENGO LILILOACHWA NA JAJA ALIYEKATISHA MKATABA NA YANGA

Geilson Santana Santos ‘Jaja’. KLABU ya Yanga inatarajia kumsajili kiungo mkabaji mpya kutoka Brazil Emerson De Oliveira Neves Rouqe kuziba nafasi hiyo iliyoachwa na mshambuliaji Geilson Santana Santos ‘Jaja’ aliyekatisha mkataba wake na klabu hiyo kutokana na kukabiliwa na matatizo ya kifamilia. Jaja akishangilia bao lake alilofunga kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Yanga na Thika...

 

9 years ago

Mtanzania

Urusi yafungiwa kusajili wachezaji wa Uturuki

071214-13-SOCCER-Vitaly-Mutko-OB-PI.vadapt.620.high.94MOSCOW, URUSI

KLABU za nchini Urusi zimefungiwa kufanya usajili kwa wachezaji wa nchini Uturuki kuanzia Januari mwakani kutokana na migogoro ya kisiasa.

Nchi hizi mbili zimekuwa na migogoro ya kisiasa, ambapo wiki iliyopita ndege ya kivita ya nchini Urusi ililipuliwa na jeshi la nchini Uturuki kwenye mpaka wa Syria, Novemba 24 mwaka huu na kuua rubani mmoja huku mwingine akiwa salama.

Waziri wa Michezo nchini Urusi, Vitaly Mutko, aliliambia gazeti la R-Sport new la nchini humo kwamba, hakuna...

 

11 years ago

Michuzi

JKT Ruvu yaingia mtaani kusajili kwa vipaji vya wachezaji

Timu ya JKT Ruvu leo itaanza mchakato wa kutafuta wachezaji wapya kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwenye uwanja wa JKT Mlalakuwa jijini.
Zoezi la kusaka wachezaji hao ni la wazi na meneja wa timu hiyo, Joel Frank amewataka wachezaji wote wenye nia ya kucheza ligi kuu msimu ujao kufika kwa wingi katika uwanja huo kuanzia saa 1.30 asubuhi.
Frank alisema kuwa wameamua kutafuta wachezaji kwa mtindo huo kwa lengo la kuona uwezo wao halisi na wala si kwa kukisia kama...

 

10 years ago

Habarileo

Simba kusajili watano

KOCHA Mkuu wa Simba Dylan Kerr, amesema amependekeza kwa uongozi kusajili wachezaji watano wapya kwenye dirisha dogo la usajili kwa ajili ya kuimarisha kikosi chake ili kiweze kuhimili ushindani wa kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

11 years ago

GPL

Wambura amzuia Hans Pope kusajili Simba

Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais klabuni hapo, Michael Wambura. Na Wilbert Molandi
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope, amesema kwa sasa hataki kujihusisha na masuala ya usajili, badala yake ataelekeza nguvu zake katika biashara zake binafsi.
Mwenyekiti huyo ameitoa kauli hiyo hivi karibuni wakati klabu mbalimbali zikiendelea na usajili kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na sababu kubwa ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Domayo, Mosoti pengo Yanga, Simba

Mapengo ya Frank Domayo kwa Yanga na Donald Mosoti kwa Simba yameonekana dhahiri mwishoni mwa wiki baada ya timu hizo kuanza vibaya Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani